Watuhumiwa wenzake na Mbowe yawezekana kweli waliteswa na kupigwa, lakini je hawakupanga kushiriki njama za ugaidi?

Umesikia popote mahakamani Polisi wakikiri kwamba "Ni kweli tulikupiga Adamoo ili utupatie ukweli ambao tunaruhusiwa kisheria kuupata kwa njia yoyote?". Kama hao polisi walifanya kwa nia njema kwa nini sasa wanaidanganya mahakama kwamba hawakuwagusa bali walitoa maelezo kwa hiari yao?
Kama hujui kanuni ya Evidence extraction ungeuliza tukwambie inafanya kazi wakati gani na siyo kwenye implication evidence kama inayolazimishwa na Polisi.
 
Tusomee na wewe ambapo kifungu hicho kinafanya kazi zaidi ya submission of exhibits?
 
Kwa askari Mabeyo ni CDF mbovu, mkabila na asiyejali masilahi ya askari kuliko CDF yeyote tangu Uhuru.
Yaani Jiwe alikuwa mtawala mbovu sana hata wateule wake wakawa wabovu kuliko waliowatangulia.
Ona Mabeyo na utendaji wake? Ona Sirro na utendaji wake? Huko nyuma hakujawahi kuwa na wateule walio dhalilisha vyombo hivyo vya dola kama wateule hao.
Kweli Mungu kazi yake haina makosa!
 
Endelea kusubiria ushahidi mzito uliosemekana upo.
 
Ungekuwa na akili, ungeanza kwanza kujiuliza hivi, inakuwaje jeshi la polisi linaanzia kufanya ukamataji kabla ya kujiridhisha na tuhuma walizonazo
 
Hivi ile conference ilikuweje mazee?. Nilikuwa nje ya maeneo
 
CDF anaingiaje hapa? CDF anahusikaje kwenye hii kesi?
 
Nilivyomuelewa mimi, ameilalamikia CDF jinsi inavyowahudumia maaskali wanaopata matatizo wakiwa kazini na jinsi inavyowaondoa kazini na wanaopata matatizo ambayo ayana hutbibitisho CDF haiwasaidii
Wewe nimekuelew, mwulize tena, "Je CDF ana uhalali wa kuingilia hii kesi ili makonandoo wake wasitiwe hatiani?"
 
Wewe nimekuelew, mwulize tena, "Je CDF ana uhalali wa kuingilia hii kesi ili makonandoo wake wasitiwe hatiani?"
Hana uhalali huo. Je, iwapo kesi imekwisha na ikaonekana kila kitu ni uhongo hakukuwa na tuhuma za ugaidi, je, atakuwa bado hana uhalali wa kuchukua atua yoyote Ile maana taswila ya JWTZ litakuwa imealibiwa maana Kuna askali ambao bado wapo kazini walikamatwa kwa tuhuma hizo za ugaidi
 
Wewe kwenye kesi ya Sabaya kila kukicha ulikuwa unaianzishia uzi kwamba kaonewa na atatoka. Alipopigwa mvua 30 ukapotea. ... Leo umegeukia huku, utapotea tena..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…