Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
UTANIELEWA MWAKANIKwamba JWTZ “wamebadiri Gia angani, walichopanga kuongea sio walichokiongea “... Tafadhali unaweza kuthibitisha maneno yako haya?
Ni vigumu sana kudifine ugaidi katika ngazi ya kimataifa maana Sheria ya ugaidi ni ya kimataifa.kwa hawa wameshtakiwa kwa kupanga maandamano yasiyo na ukomo,kutaka kulipua vituo vya mafuta (ambavyo mpaka sass havijajulikana)na kutaka kudhuru viongozi.katika mambo you're haya kunahitajika uthibitisho usio tia shaka kuwa tia hatiani.ni kazi ya mahakama kupima ushahidi utaoletwa na upande wa jamhuri kisheria kama unajitosheleza.rejea tukio la mwakab1998 ubalozi wa marekani uliposhambuliwa dar,walikamatwa watu zaidi ya 200 lakini Cha kushangaza walipotua FBI walisema hakuna hata mmoja miongoni mwa walikamatwa alihusika na ulipuaji .Bali wao walikuja na picha ya mtu aliyehusika.nakusema huyu ndiye anaetafutwa.ugaidi sio mchezo kama watu wengine wanavyo fikiri ugaidi ni kilele Cha uhalifu duniani ndio maana vita ya ugaidi ni ya ulimwengu mzima sio ya nchi moja.Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo ndipo itakataa kupokea huo ushahidi.
Kesi ya Mbowe na wenzake inaendelea naona wafuasi waCdm wanashupaa sana kudhania kuwa watuhumiwa wenzake na Mbowe kutoa maelezo kuwa walipigwa na kuteswa itakuwa ni sababu ya kutotenda kosa. Ni wazi kuwa mtu anatakiwa akiri kosa kwa hiari kama kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi inavyosema.
Lakini kama akikiri kwa lazima alafu ikawa kweli alitenda kosa basi hapo kuna hatia. Je, wakati hizi kesi ndogo juu ya kesi kubwa zikiwndelea na tuhuma za kupigwa na kuteswa zikiibuka, Je hawakushiriki kipanga kulipua vituo vya mafuta?
Factum probandum?
Basi hakuna sababu ya kumlaumu CDF, tusubiri kwanza mahakama iamue, kama wale jamaa wana hatia wawajibike.Hana uhalali huo. Je, iwapo kesi imekwisha na ikaonekana kila kitu ni uhongo hakukuwa na tuhuma za ugaidi, je, atakuwa bado hana uhalali wa kuchukua atua yoyote Ile maana taswila ya JWTZ litakuwa imealibiwa maana Kuna askali ambao bado wapo kazini walikamatwa kwa tuhuma hizo za ugaidi
Ni sawa na kutakatisha fedha. Huwezi pata fedha kwa njia chafu inayovunja sheria halafu uje uanzishe kitu kwa fedha hiyo hiyo uliyoipata kwa nj8a chafu kwa kufuata sheria zote za uanzishwaji wa kitu hichoMtuhumiwa hata kama ana hatia, sharti zifuatwe taratibu zinazokubalika kisheria kumkamata na kumfikisha mahakamani, kuvunja taratibu hizo kabla ya kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo anastahili kuachiwa huru, huwezi kuharibu hatua za mwanzo halafu ukarekebishe mbele ya safari, hiyo kitu haipo kisheria ni vile mnabebwa na "maoni" ya jaji.
Kinachoendelea kwa sasa ni kutaka kujua ukweli wa madai yenyewe.Suala la mateso linaangaliwa vizuri ili kujua kama watuhumiwa walitoa maelezo Yao katika mazingira huru kiasi gani.wananchi wengi bila kujali itikadi za vyama,tayari Wana mashaka makubwa juu ya uhalisia wa kesi yenyewe.Wapi nimeandika polisi wanayo haki ya kupiga?
Ishu ni kama walikiri kwa kupigwa na kuteswa na kweli walipanga kulipua vituo vya mafuta. Kama ni kweli mahakama itauchukua huo ushahidi.
Mkuu umeilewa mada hapo juu? Umeelewa matiki ya kifungu cha 29 sheria ya ushahidi?Umesikia popote mahakamani Polisi wakikiri kwamba "Ni kweli tulikupiga Adamoo ili utupatie ukweli ambao tunaruhusiwa kisheria kuupata kwa njia yoyote?". Kama hao polisi walifanya kwa nia njema kwa nini sasa wanaidanganya mahakama kwamba hawakuwagusa bali walitoa maelezo kwa hiari yao?
Kama hujui kanuni ya Evidence extraction ungeuliza tukwambie inafanya kazi wakati gani na siyo kwenye implication evidence kama inayolazimishwa na Polisi.
Kabisa yaani, mashaka ni makubwa sana... Ukiangalia ushahidi wa polisi jinsi wanavyojichanganya lazima upate mashaka. HALAFU;Kinachoendelea kwa sasa ni kutaka kujua ukweli wa madai yenyewe.Suala la mateso linaangaliwa vizuri ili kujua kama watuhumiwa walitoa maelezo Yao katika mazingira huru kiasi gani.wananchi wengi bila kujali itikadi za vyama,tayari Wana mashaka makubwa juu ya uhalisia wa kesi yenyewe.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tupeni maiti ya Ben Saanane , au twambieni mlipo mfukia tukamfukue tumfanyie ibada mpendwa wetu.Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo ndipo itakataa kupokea huo ushahidi.
Kesi ya Mbowe na wenzake inaendelea naona wafuasi waCdm wanashupaa sana kudhania kuwa watuhumiwa wenzake na Mbowe kutoa maelezo kuwa walipigwa na kuteswa itakuwa ni sababu ya kutotenda kosa. Ni wazi kuwa mtu anatakiwa akiri kosa kwa hiari kama kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi inavyosema.
Lakini kama akikiri kwa lazima alafu ikawa kweli alitenda kosa basi hapo kuna hatia. Je, wakati hizi kesi ndogo juu ya kesi kubwa zikiwndelea na tuhuma za kupigwa na kuteswa zikiibuka, Je hawakushiriki kipanga kulipua vituo vya mafuta?
Factum probandum?
Mabeyo ndio namsikia kwako mi namzungumzia huyu wa huku kwetu ComoroKwa askari Mabeyo ni CDF mbovu, mkabila na asiyejali masilahi ya askari kuliko CDF yeyote tangu Uhuru.
Kwa maoni ya JaJi, na kwa amri ya bi, Chokochoko na maharamia aliochiwa na HAYAWANI Magufuli.?!Tuiachie mahakama kazi ya kutafsiri sheria
Unaogopa nini sasa na nyie wababeJikite kwenye mada.
Kingai na timu yake ndio mlituma kumuua Lissu na mabinduki yenu.?!Tuna mabunduki na akina nani? Tunazunguzia ishu iliyopo mahakamani,sisi ni raia . Je sheria za nchi zinasemaje?
Naona makamandoo wamedhalilishwa sana.Inaogopesha.Unajua press ya juzi,JWTZ wamebadili gia angani,walichopanga kuongea sicho walichokiongea,unapotaja "Makomandoo" maana yake ni "Highly trained soldiers".....kwa muktadha huu wa kesi ya Mbowe na ushahid unaotolewa na hawa Makomandoo wetu,jua tu hali si shwari....UTANIELEWA MWAKANI.
Makamandoo kudhalilishwa inavyoonekana kwenye kesi ndo ilikuwa main issue kwamba watu wakisikia Mbowe ametumia makomandoo basi public au watu watashituka sana lakini imekuja kinyume chake badala ya watu kuweka taharuki wao wamekuwa upande wa makomandoo kwamba pia wanastahili kufanya kazi popote maana hawapo jeshini Sasa hicho kitu naona ndo kimeweka kesi kuwa ngumu ila watu wangewalaumu makomandoo kwenda kumlinda Mbowe kama ilivyotegemewa basi mashitaka sasahivi yangekuwa na nguvu kubwa kama nguvu iliyoupande wa Mbowe ilivyokubwa.Naona makamandoo wamedhalilishwa sana.Inaogopesha.
....wafuasi wa Chadema wanashupalia......usemi huu unaonesha upande ulioko wewe ambao ni wa mashitaka, kitendo hiki kinaondoa hadhi ya mada yako kujadiliwa kwani tayari unao uamuzi wako mfukoni.Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo ndipo itakataa kupokea huo ushahidi.
Kesi ya Mbowe na wenzake inaendelea naona wafuasi wa CHADEMA wanashupaa sana kudhania kuwa watuhumiwa wenzake na Mbowe kutoa maelezo kuwa walipigwa na kuteswa itakuwa ni sababu ya kutotenda kosa. Ni wazi kuwa mtu anatakiwa akiri kosa kwa hiari kama kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi inavyosema.
Lakini kama akikiri kwa lazima halafu ikawa kweli alitenda kosa basi hapo kuna hatia. Je, wakati hizi kesi ndogo juu ya kesi kubwa zikiendelea na tuhuma za kupigwa na kuteswa zikiibuka, Je hawakushiriki kipanga kulipua vituo vya mafuta?
Factum probandum?
Ndiyo swali linakuja ni sheria gani hiyo ya kupiga mtuhumiwa ili akiri hata kama ni mkosaji? Actually kama amekiri inatakiwa pamoja na kukiri kwake hao askari nao washtakiwe kwa kitendo hicho maana huko chuoni wamepewa mbinu kibao za kuujua ukweli.Mkuu soma vizuri kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi.
Mfano mtu anatuhumiwa kwa ujambazi wa siraha, anafikishwa kituo cha polisi, anapigwa na kuteswa anakubali na anawapeleka polisi alipoficha siraha na vitu alivyoiba. Ikikifaka mahakamani itakuwaje?