Watuhumiwa zaidi waendelee kufutiwa mashtaka na kuachiliwa Huru

Kumbe kwanini DPP kaifuta kesi?
Tumia angalau akili kidogo kufikiri basi..
DPP amesema kwa mdomo wake kuwa walisingiziwa?
Ama ni maelekezo kutoka juu?

Nadhani wewe ndio hujatumia akili hapa
 
Kesi imefutwa..sio wameachiwa huru
Hayo ni maelekezo kutoka juu

Acha kuleta udini kwa kutetea ujinga
Ndio maana nasema akili zako hazina akili.
Sasa kama jinai ipo unadhani huko juu unakosema yametoka maelekezo kungetoa mhayo maelekezo?
 
Acha ujinga fara we hivi uwamwagie watu tindikali halafu ukamatwe umemwagia watu tindikali inawezekana kukaa miaka yote minane bila kuhukumiwa ?
hivi wewe unatumia kiungo gani kufikiria kichwa au makalio?
Tena walilawitiwa kabisa huko Keko, huwezi mmwagia tindikali mwenzako kisa unataka uishi mwenyewe kisiwani wakati umetoka Oman, Sasa warudie Tena kuuvunja muungano wataozea jela
 
Tena walilawitiwa kabisa huko Keko, huwezi mmwagia tindikali mwenzako kisa unataka uishi mwenyewe kisiwani wakati umetoka Oman, Sasa warudie Tena kuuvunja muungano wataozea jela
Halafu kuna kima hapo inabisha ujinga
 
Kesi imefutwa..sio wameachiwa huru
Hayo ni maelekezo kutoka juu

Acha kuleta udini kwa kutetea ujinga

Hivi nyinyi mbona ni wavifu kufikiri kama kesi imefutwa maana wamekosa ushahidi

na kama ungepatikana ushahidi hata wa kugushi kesi ikaendelea halafu ushahidi ukaonekana dhaifu kuwatia hatiani ndio wangewachiwa huru.

Hakuna maelekezo toka juu. Na hao walioachiwa wanasema watakaa na mawakili wao ili kutizama uwezekano wa kufungua mashtaka ya kudai fidia.
 
Ndio maana nasema akili zako hazina akili.
Sasa kama jinai ipo unadhani huko juu unakosema yametoka maelekezo kungetoa mhayo maelekezo?
Statement yako ni ipi?
Wamesingziwa?

Wamesingiziwa?
Mahakama inasemaje?
 
Magufuli sijui alikuwa mtu wa aina gani,yaan nikweli ilifikia wakati wakili anaemuwakilisha mteja wake,eti nae anatishiwa kukamatwa pia kwakuwa tu aliyemuwakilisha kamkosoa yeye au serikali yake,

Mzee alikuwa anajisikia raha watu wakiishia jela huku familia zao zikiwa kweny mateso makubwa,,

Bora nayeye Mungu amemuweka kwenye jela ya kudumu
 
Upumbavu.

Na mashekih walivyokamatwa walisingiziwa pia?
dada,Kama unahisi jela kuzuri, mpeleke bwanaako akachukue nafasi ya hao waliotoka uko,
Naona dikteta amewapandikiza roho za kishetani, kipindi chake ukimpinga tu unaenda jela Kama kina Kabendera
 
Jana kuna jamaa katoka jela jirani yangu,yeye amefungwa juzi tu kwa kupangisha nyumba 1 watu wawili
Ilo kosa huwa linaambatana na kupigwa faini, kwaiyo atakuwa amelipa faini
 
DPP amesema kwa mdomo wake kuwa walisingiziwa?
Ama ni maelekezo kutoka juu?

Nadhani wewe ndio hujatumia akili hapa
Maelekezo kutoka mataklenee kwako//

Mmekalia kupinga kila kitu misukule ya dikteta
 
Kuna watu wana roho ngumu sana. Kama unavyowaona humu jamvini.

Huwa wanasema tusiwaite majina. Ila miye huwaambia huwa wanajiita wenyewe majina kwa roho zao.

Kazi kubwa sana. Unakosa vipi utu au huruma kwa binadamu mwenzio?
 
Nani alikuwa na uwezo wa kuyakemea yote haya yaliyokuwa yamepinda?
Post yako yaweza kuwa na mashiko, ila kutetea human trafficers sioni kama ni jambo zuri
 
Post yako yaweza kuwa na mashiko, ila kutetea human trafficers sioni kama ni jambo zuri

Kumbuka hao si "human traffickers" bali "alleged human traffickers" walioachiwa na DPP.

Ninaamini unaiona tofauti ya wazi iliyopo.
 
Ila kuna wengine km Papaa Msofee, mmmh. Wasiavhie tuu, waharifu wakafie jela
 
dada,Kama unahisi jela kuzuri, mpeleke bwanaako akachukue nafasi ya hao waliotoka uko,
Naona dikteta amewapandikiza roho za kishetani, kipindi chake ukimpinga tu unaenda jela Kama kina Kabendera
ukiwa hedhi huwa unakuwa mkali sana hivyo mywangu
Aliewafunga hao ni kikwete sio magu. Mbona unapenda kufata mkumbo my baby?
 
Wewe brazaj Kuna mtu humu katoa taarifa zako ili apate m. 2. Shauri yako!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…