- Thread starter
- #41
Wewe brazaj Kuna mtu humu katoa taarifa zako ili apate m. 2. Shauri yako!!!!
Huyo atakuwa bado hujakubali kuwa awamu ya tano ilikwenda zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe brazaj Kuna mtu humu katoa taarifa zako ili apate m. 2. Shauri yako!!!!
Neno langu, ninini maamuzi ya DPP?Statement yako ni ipi?
Wamesingziwa?
Wamesingiziwa?
Mahakama inasemaje?
Kweli vichaa ni wengi humu 😀😀Neno langu, ninini maamuzi ya DPP?
Kama kutoamini kuwa mashtaka hayakuwa na mashiko na ndio maana yakafutiliwa mbali,Kweli vichaa ni wengi humu 😀😀