Jaman tuache mihemko hao waliomwagiwa tindikali imekuaje miaka zaid ya 7 wasitoe ushahid ..alaf kuna watu walishaukumiwa kwa kesi ya ubakaji kina babu seya mbona walipoachiwa mlifuraia ...iweje hawa ambao waliwekwa gerezani bila hukumu kwa miaka 8 waachiwe muanze mdomo