Watumia Fitbit wote kulazimika kuwa na akaunti za Google 2023

Watumia Fitbit wote kulazimika kuwa na akaunti za Google 2023

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1664120431140.png

Kuanzia mwaka 2023; watumiaji wa smartwatch za Fitbit watalazimika kutumia akaunti ya Google katika kujisajili kwenye vifaa vya Fitbit - smartwatches na fitness trackers.

Fitbit ni brand kubwa ya smartwatch ambayo ina mfumo wake wa kufungua akaunti katika vifaa vyake; lakini ilikuja kununuliwa na Google tangu mwaka 2021 kwa dola Bilioni 2.1. Fitbit brand kubwa sana katika smartwatch (saa-janja); na ilikuwa inashika nafasi kubwa kwa kuwa na watumiaji wengi baada ya Apple Watch.

Fitbit imesema watumiaji wake wataanza kutumia akaunti ya Google kuanzia mwaka 2023; na mwaka 2025 akaunti zote za Fitbit Acount ambazo watumiaji walikuwa wanatakiwa kufungua zitafungwa na zitabaki za Google tu.
 
Back
Top Bottom