Watumiaj wakongwe wa smartphone: Mtandao ambao isipite siku hujachungulia

Watumiaj wakongwe wa smartphone: Mtandao ambao isipite siku hujachungulia

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Asalaam aleikum. Kila siku kuna watumiaj wapya wa mitandao mbalimbali ya kijamii na internet kwa ujumla. Nichukue ukurasa huu tusaidiane kujua mitandao yenye faida kwa kila mpenda habar, maono, hekma na mambo ya kufaidisha kupitia simu ya mhusika.

Wengine wanakuwa na hamu tu ya kumilik simu janja akishaipata anakosa kufaidi kwa kutokujua wapi aelekeze bundle lake kwa tija. Anaishia kupekua watu facebook. Mi naanza

1. Jamiiforum
2. Milard ayo
3. Dr K N Jacob[facebook]
 
1. Jamiiforum
2. Millard Ayo
3. Muungwana blog
4. Whatsapp
 
Cha ajabu wana watazamaji kibao sijui huwa wanatoka wp ikiwa kila mtu haangalii
Yah,kuna ripoti flani ya kiuchunguzi nmeisahau tu jina,walisema kuwa porn sites ndio zinazoongoza kutembelewa Mara nyingi hapa duniani kuliko sites zozote .wakaongeza kuwa watu wengi jambo hilo linabaki mioyoni mwao tu.
 
Cha ajabu wana watazamaji kibao sijui huwa wanatoka wp ikiwa kila mtu haangalii
Tatzo la ukweli ni hata uuchanganyie na nini bado utatokelezea tu. Nature ndo ukweli wenyewe. Kanuni za kibinadam kwa mgongo wa sheria za Muumba ndo zinatuhangaisha. Na kwavile hizo sites zinaonekana kutokuwa na baraka za Mungu kimaandiko ya watu wenye busara zao, inabid nature iendelee kutokelezea kwa hao watu kuangalia kwa uficho! Love, sex, na sexual intercourse ni nature. Ni kani asili. Ni mkondo. Busara zinapambana kila siku kuimonitor lakin kaz ngum.
 
Back
Top Bottom