BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Hata msijifariji kwa uchakachuzi wa mamlaka za nchi hii inawezekana ukaona ribbon ya green ila content ikawa nyeusi au nyekundu. Nchi hii ni kwa rehema na neema tu.
Asante kwa mada nzuri ya kuelimisha kuhusu afya zetu na madawa. Niliposoma tu nikaenda kukagua dawa ninazotumia nikakuta zina hako karangi ka bluu nikaona afadhali. Sasa hivi nitakuwa makini sana wakati wa kununua dawa za meno. Kakosa kadogo tu ulikokafanya kwenye mada yako ni kusema dawa ya mswaki badala ya meno. Tumerekebisha wenyewe usihangaike
Ni dawa gani ya meno yenye label ya kijani hapa tanzania tusaidiane.
Umewahi kuona lebel ya GM food? Unafikiri kila unachonunua pale NAKUMATT ni Natural?kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...
What do you mean! Biashara ya kimataifa imeanza leo?!
Umewahi kuona lebel ya GM food? Unafikiri kila unachonunua pale NAKUMATT ni Natural?
Hesabu vipi?Mkuu asante sana, somo la kiswahili lilikuwa linanipiga chenga sana.
COLGATE - All NaturalDah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.
Tumetoka mbali.
Ooohhh...very good; Hivi KIWI ni dawa ya kiumbe gani?
Sina nia ya kukupinga extremely,lakini nimewahi kufika kwenye kiwanda kinachotengeneza hizi tubes,na niliona kuwa tube inapotoka kwenye mashine huwa ni plain(bila ya rangi yoyote)kwa kuwa huwa inatengenezwa kwa mfumo wa injection mould huwa si rahisi kuchanganya rangi kwenye plastic material kabla ya kutoka kwenye mould,ingekuwa pre-foam ingewezekana,asante.kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...
kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...
Sasa mbona umetuacha tusiojua lugha ya wakoloni? Dadavua basi kila rangi faida na hasara zake.
FaizaFoxy. Uko sahihi kabisa. Nilikuwa na duka la chakula tangu 1971. Hizi ni za magendo. Wafanyabiashara wadogo wanazipitisha njia panya.Haikuanza leo wala jana, lakini kubali au kataa, kuna wakati wa Nyerere nchi hii ilikuwa kwenye dhiki na umasikini wa mwisho duniani, hivyo vyote vilikuwa haviagizwi na vilionekana ni anasa, kama ulivyoandika juu huko vikitokea Kenya na Zambia na kuingizwa nchini kimagendo na kuuzwa kimagendo.
Kijana, nilikuwepo huwa sikisii kwa mambo haya.
kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...