Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Asante kwa mada nzuri ya kuelimisha kuhusu afya zetu na madawa. Niliposoma tu nikaenda kukagua dawa ninazotumia nikakuta zina hako karangi ka bluu nikaona afadhali. Sasa hivi nitakuwa makini sana wakati wa kununua dawa za meno. Kakosa kadogo tu ulikokafanya kwenye mada yako ni kusema dawa ya mswaki badala ya meno. Tumerekebisha wenyewe usihangaike

Mkuu asante sana, somo la kiswahili lilikuwa linanipiga chenga sana.
 
Je umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya mswaki? Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki. Tazama picha hiyo hapo chini.

1.
attachment.php

Maana yake angalia picha hizi zifuatazo (2&3)

2.

3.

kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...
 
Umewahi kuona lebel ya GM food? Unafikiri kila unachonunua pale NAKUMATT ni Natural?
 
What do you mean! Biashara ya kimataifa imeanza leo?!

Haikuanza leo wala jana, lakini kubali au kataa, kuna wakati wa Nyerere nchi hii ilikuwa kwenye dhiki na umasikini wa mwisho duniani, hivyo vyote vilikuwa haviagizwi na vilionekana ni anasa, kama ulivyoandika juu huko vikitokea Kenya na Zambia na kuingizwa nchini kimagendo na kuuzwa kimagendo.

Kijana, nilikuwepo huwa sikisii kwa mambo haya.
 
Umewahi kuona lebel ya GM food? Unafikiri kila unachonunua pale NAKUMATT ni Natural?

Yaan hata kwa akili tuu ya kufungia kamba za viatu...hamna kitu kinachotoka kiwandani halaf kiwe natural...sema ulichoakiandika ni propaganda tuu!!
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.
COLGATE - All Natural
WHITE DENT - Natural + Medicine
ALOE - All Chemical (Source MCHINA) na MCHINA ni swahiba na CCM

P1030507.JPG P1030509.JPG
 
Ooohhh...very good; Hivi KIWI ni dawa ya kiumbe gani?

KIWI ni dawa ya [size=+3]kun'garisha[/size] viatu.
Au unataka kusema KIWI ni dawa ya viatu?
Siyo mbaya lakini, ni lugha tu.
 
kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...
Sina nia ya kukupinga extremely,lakini nimewahi kufika kwenye kiwanda kinachotengeneza hizi tubes,na niliona kuwa tube inapotoka kwenye mashine huwa ni plain(bila ya rangi yoyote)kwa kuwa huwa inatengenezwa kwa mfumo wa injection mould huwa si rahisi kuchanganya rangi kwenye plastic material kabla ya kutoka kwenye mould,ingekuwa pre-foam ingewezekana,asante.
 
kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...

Sasa tuamini taarifa gani,mbona mnatuweka dilema wenzenu.?!
 
Sikua najua. Asante mleta mada. Hata hivyo, iwe ya kemikali au asilia, dawa ya meno itabaki kuwa 'dawa'!
 
Sasa mbona umetuacha tusiojua lugha ya wakoloni? Dadavua basi kila rangi faida na hasara zake.
 
1. All Natural - inamaanisha ina vimelea vya asili kwa hiyo haina madhara yeyote kwa mtumiaji
2. Natural + Medicine - inamaanisha ina vimelea vya asili na dawa kwa hiyo hii inatibu pia pale unapokuwa na matatizo ya meno.
3. natural + Chemical - ina vimelea vya asili na kemikali mara nyingi kemikali huwa na madhara kwa matumizi ya binadamu bila kujali ni kemikali za sumu au za kawaida
4. All Chemical - Yaani hii imejaa kemikali na kiuhalisia dawa haina hii lazima zitakuwa na madhara kwa mtumiaji.
 
Haikuanza leo wala jana, lakini kubali au kataa, kuna wakati wa Nyerere nchi hii ilikuwa kwenye dhiki na umasikini wa mwisho duniani, hivyo vyote vilikuwa haviagizwi na vilionekana ni anasa, kama ulivyoandika juu huko vikitokea Kenya na Zambia na kuingizwa nchini kimagendo na kuuzwa kimagendo.

Kijana, nilikuwepo huwa sikisii kwa mambo haya.
FaizaFoxy. Uko sahihi kabisa. Nilikuwa na duka la chakula tangu 1971. Hizi ni za magendo. Wafanyabiashara wadogo wanazipitisha njia panya.
 
Last edited by a moderator:
kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...

Kwani Tanga unaishi barabara ya ngapi vile?
 
Back
Top Bottom