Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Watanzania wanaamini fastafasta, aisee.!!
 

Umenikumbusha mbali sana, ilikuwa ukienda boarding school na close-up, colget, aquafresh unaonekana mtoto wa kishua.
 

Wa bongo bwana mnajua kubisha na si kutatua tatizo au kuelimisha jamii sasa wewe unaejua tupatie maana halisi na uzoefu wako na utupatie utafiti wako basi.
 
umenikumbusha kua sijapiga mswaki leo dawa imekwisha na sijanunua nyingine.. ahsantee sana kwa ukumbusho.. ila leo ndo basi nitapiga kesho inshaallah
 
Tatizo lililopo watu wanaangalia sana pesa kuliko uhai
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.


mimi nimezaliwa mwaka 1970 lakini muda wote nimekuwa nikitumia COLGATE sasa sijui wewe ulikuwa unaishi wapi? mimi nilikuwa mwanza, isije ukawa na chuki na mwl.
 
mimi nimezaliwa mwaka 1970 lakini muda wote nimekuwa nikitumia COLGATE sasa sijui wewe ulikuwa unaishi wapi? mimi nilikuwa mwanza, isije ukawa na chuki na mwl.

Hongera sana, nnauhakika ulikuwa hujuwi wazee wako wanazitoa wapi, wewe unatumia tu.
 
Wadau vipi kuhusu sabunj,na zenyewe zina rangi kama dawa za mswaki?
 
Mimi huwa natumia mkaa, ni natural kabisa na meno yangu ni meupeeeeee!
 
Mimeenda fasta bafuni kucheki yangu, nikakuta Blue. Ubarikiwe ndg kwa msuli faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…