Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Watanzania wanaamini fastafasta, aisee.!!
 
Haikuanza leo wala jana, lakini kubali au kataa, kuna wakati wa Nyerere nchi hii ilikuwa kwenye dhiki na umasikini wa mwisho duniani, hivyo vyote vilikuwa haviagizwi na vilionekana ni anasa, kama ulivyoandika juu huko vikitokea Kenya na Zambia na kuingizwa nchini kimagendo na kuuzwa kimagendo.

Kijana, nilikuwepo huwa sikisii kwa mambo haya.

Umenikumbusha mbali sana, ilikuwa ukienda boarding school na close-up, colget, aquafresh unaonekana mtoto wa kishua.
 
kabla hujaandika thread yoyote fanya uchunguzi wa kutosha maana unawapotosha watu..usikurupuke kupost msg za whatsapp.dont believe everything u see on the internet...hizo rangi kwa chini ya dawa za miswaki zipo kwenye almost every tube...na hicho kimstari cha rangi kinaonyesha wapi mashine ikate hiyo tube..rangi inaweza kua yoyote ile depending na manufacturer's choice...wala haiingiliani na contents za bidhaa iliyotengenezwa...

Wa bongo bwana mnajua kubisha na si kutatua tatizo au kuelimisha jamii sasa wewe unaejua tupatie maana halisi na uzoefu wako na utupatie utafiti wako basi.
 
umenikumbusha kua sijapiga mswaki leo dawa imekwisha na sijanunua nyingine.. ahsantee sana kwa ukumbusho.. ila leo ndo basi nitapiga kesho inshaallah
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.


mimi nimezaliwa mwaka 1970 lakini muda wote nimekuwa nikitumia COLGATE sasa sijui wewe ulikuwa unaishi wapi? mimi nilikuwa mwanza, isije ukawa na chuki na mwl.
 
mimi nimezaliwa mwaka 1970 lakini muda wote nimekuwa nikitumia COLGATE sasa sijui wewe ulikuwa unaishi wapi? mimi nilikuwa mwanza, isije ukawa na chuki na mwl.

Hongera sana, nnauhakika ulikuwa hujuwi wazee wako wanazitoa wapi, wewe unatumia tu.
 
Wadau vipi kuhusu sabunj,na zenyewe zina rangi kama dawa za mswaki?
 
Mimi huwa natumia mkaa, ni natural kabisa na meno yangu ni meupeeeeee!
 
Mimeenda fasta bafuni kucheki yangu, nikakuta Blue. Ubarikiwe ndg kwa msuli faida.
 
Back
Top Bottom