Watumiaji Twitter Milioni 10 wanataka Elon Musk ajiuzulu Utendaji Mkuu

Watumiaji Twitter Milioni 10 wanataka Elon Musk ajiuzulu Utendaji Mkuu

Daah jamaa kila akiamka anakuja na wazo jipya utadhani mwenye nyumba na kodi yake...anegundua atapata anguko kubwa kwenye biashara zake sio Tura huyo kasoma nyakati..
 
Anahita mtu mjinga kumzidi yeye ili amkabidhi madaraka alio nayo katika kuendesha mtando wake wa Twitter. Yeye atabaki kusaidia vitu vidogo vidogo.
 
Back
Top Bottom