Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Dec 20, 2022 #21 Daah jamaa kila akiamka anakuja na wazo jipya utadhani mwenye nyumba na kodi yake...anegundua atapata anguko kubwa kwenye biashara zake sio Tura huyo kasoma nyakati..
Daah jamaa kila akiamka anakuja na wazo jipya utadhani mwenye nyumba na kodi yake...anegundua atapata anguko kubwa kwenye biashara zake sio Tura huyo kasoma nyakati..
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Dec 20, 2022 #22 Elon Mask had an exit strategy.
wansawa JF-Expert Member Joined Oct 11, 2020 Posts 857 Reaction score 857 Dec 22, 2022 #23 Anahita mtu mjinga kumzidi yeye ili amkabidhi madaraka alio nayo katika kuendesha mtando wake wa Twitter. Yeye atabaki kusaidia vitu vidogo vidogo.
Anahita mtu mjinga kumzidi yeye ili amkabidhi madaraka alio nayo katika kuendesha mtando wake wa Twitter. Yeye atabaki kusaidia vitu vidogo vidogo.
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Dec 22, 2022 #24 wansawa said: Anahita mtu mjinga kumzidi yeye ili amkabidhi madaraka alio nayo katika kuendesha mtando wake wa Twitter. Yeye atabaki kusaidia vitu vidogo vidogo. Click to expand... Wivuuu
wansawa said: Anahita mtu mjinga kumzidi yeye ili amkabidhi madaraka alio nayo katika kuendesha mtando wake wa Twitter. Yeye atabaki kusaidia vitu vidogo vidogo. Click to expand... Wivuuu