Watumiaji wa Bangi Tukutane hapa kushangilia

Watumiaji wa Bangi Tukutane hapa kushangilia

mwambieni aruhusu bangi zenu zote lkn sio bangi ya huku Matombo!
 
Iriee
FB_IMG_1554979133638.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Puff puff pass. Smoke weed everyday.

Sent using Boeing 737-MAX 8
 
hii habari imenifurahisha Sana ganja ni burudani, ganja ni dawa sema watu wanafki wenye roho za kwa nini wanaipiga vita ifikie Mahala wa Tanzania tuachage unafki

Mm nashauri waiachilie tukuze uchumi wetu kama gongo walivyoiachilia tumechoka kuvuta kwa kujificha ifikie hatua wavutaji wote tusimame tutetee haki yetu mambo gani haya nchi ni yetu ila tunaishi kwa kubaguana wangefungia pombe basi na sigara tukose wote

Naandika kwa uchungu Sana bangi naipenda Sana wala sitoiacha wanangu pushaa shangilien mwaka wa biashara unakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo mkuu.

Legalise it magufuli

Sent using Boeing 737-MAX 8
Sie wa Hybrid za amsterdam tunacomment wapi,wazee wa Alaskan thunderfuck,girl scout cookies,gorrila glue,afghan kush,sour diesel etc
 
Back
Top Bottom