Watumiaji wa Bangi Tukutane hapa kushangilia

Nasikia ya Amsterdam ni mbegu ya malawi
Amsterdam wanastrain za kutoka sehemu mbali mbali duniani,kuanzia india,afghanstan,swaziland,malawi,alafu wanazo hybrids na modified strains
 
Hizi za bongo skuiz hamna kitu, hivi kitu cha (sour diesel) hakijafikaga bongo tu? Au zile Og Kush, Haze....yani sizioni
 
Msinikumbushe siku ya kwanza kutumia mmea niliishia kulala njaa,

Yaani kila nikipeleka mkono kwenye sahani ya chakula ambayo niliiona iko karibu lakini nikawa siifikii, matokeo yake nikawa kama naitisha sahani na watu kuanza kunishangaa matokeo yake nikanawa na kuishilizia zangu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…