Watumiaji wa Google wataweza kubadili email zao za @gmail.com kwa urahisi

Watumiaji wa Google wataweza kubadili email zao za @gmail.com kwa urahisi

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Google address _20251228_101211_0000.png


Google Iko kwenye mpango mzuri wa kuweza kuruhusu watumiaji wa akaunti za Gmail (Google Account) kubadilisha username za email zao Kwa urahisi.

Mfumo huo utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2026 japo Kwa sasa umeanza nchini India ambapo wataweza kurekebisha email zao kwa urahisi tuchukulie barua pepe yako ni [email protected] unaweza kubadili kuwa [email protected] au kuwa email yoyote utakayo muhusika.

Kumbuka zile taarifa zako zote muhimu bado zitaendelewa kuwepo bila kuathiliwa na chochote yani zile email za (sent & received) utaweza kuzipokea kwenye email mpya bila shida yoyote.

Utaweza kuingia kwenye email akaunti yako kupitia myaccount.google.com >> personal info >> contact info >>chagua email badili.
 
Back
Top Bottom