Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
Soma huko juu wii ujionee wanawake wajinga wanavyojizalilisha yani miaka hii ya kuzamia sherehe na kuomba kupiga picha na oppo?? Halafu wanamkataza kanuna hasira anamalizia JF na huku wamemchunia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ngoja kwanza nianze nilipo ishia jana sikutegemea kama huu uzi utafikia huku๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ngoja kwanza nianze nilipo ishia jana sikutegemea kama huu uzi utafikia huku๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Utajichosha hana jipya ni mzamiaji wa sherehe za watu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shida ni simu Iphone au kuna mengine chini ya kapeti maana humu unaweza vamia ugomvi kumbe umeanzia pm๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Nyuzi za kuziponda iPhone ni nyingi humu, Nyuzi za kujilinganisha na iPhone ni nyingi pia . Ni kweli apple wana tatizo au ni inferiority complex (Kujistukia) au shida ni nini ? Pia Kwa nini mtu usiridhike tu na simu /brand unayotumia yaan ukawa comfortable kabisa ukaachana na kuchungulia simu za wenzio ? Whatโ€™s wrong hapa
Ndo chakushangaza
 
Ila acheni ufala,acheni kufananisha Iphone na simu nyingine hebu pigeni picha kwanza ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
IMG_1163.jpeg
 
Anatia huruma mpika chai hebu aweke ya oppo km haijaonyesha ukungu na kiza km sehemu aliyopo ina vuli ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜yaani Iphone ulinganishe na simu nyingine๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜yaani Iphone ulinganishe na simu nyingine๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Kila mtu anamshangaa humu kwa walivyomshangaa kwenye sherehe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wewe mi mjinga sana. Quality ya materials na tech zilizotumika kwenye Iphone ni za viwango vya juu sana kuliko simu zote. Huwezi kulinganisha Iphone na Oppo. Iphone ipo kwenye ligi ya kipekee mkuu kwa kila namna
Huyu anatafuta wa kumuonea huruma ampe iphone kijanja nyie hamjajua tyuuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huyu anatafuta wa kumuonea huruma ampe iphone kijanja nyie hamjajua tyuuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi ninazo tatu kama atakubali nitampa bure ili atupunguzie kelele humu๐Ÿ˜€
 
Ni kweli siyo la kukataa hilo,watumiaji wengi wa simu Tanzania tunapenda kuzitumia ki-star star (ndiyo ushamba wenyewe huo)

Nina jamaa yangu anamiliki yard ya magari pale Manzese Tip Top simu anayotumia ni Tecno siyo kwamba uwezo wa kununua simu kubwa na ya gharama hana ni nadhani hajataka tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom