Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
Soma huko juu wii ujionee wanawake wajinga wanavyojizalilisha yani miaka hii ya kuzamia sherehe na kuomba kupiga picha na oppo?? Halafu wanamkataza kanuna hasira anamalizia JF na huku wamemchunia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja kwanza nianze nilipo ishia jana sikutegemea kama huu uzi utafikia huku😁😁😁
 
Ngoja kwanza nianze nilipo ishia jana sikutegemea kama huu uzi utafikia huku😁😁😁
Utajichosha hana jipya ni mzamiaji wa sherehe za watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shida ni simu Iphone au kuna mengine chini ya kapeti maana humu unaweza vamia ugomvi kumbe umeanzia pmπŸ’πŸ’πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Ndo chakushangaza
 
Anatia huruma mpika chai hebu aweke ya oppo km haijaonyesha ukungu na kiza km sehemu aliyopo ina vuli 🀣🀣🀣🀣
😁😁😁😁yaani Iphone ulinganishe na simu nyingine😳😁😁😁
 
😁😁😁😁yaani Iphone ulinganishe na simu nyingine😳😁😁😁
Kila mtu anamshangaa humu kwa walivyomshangaa kwenye sherehe 🀣🀣🀣🀣
 
Wewe mi mjinga sana. Quality ya materials na tech zilizotumika kwenye Iphone ni za viwango vya juu sana kuliko simu zote. Huwezi kulinganisha Iphone na Oppo. Iphone ipo kwenye ligi ya kipekee mkuu kwa kila namna
Huyu anatafuta wa kumuonea huruma ampe iphone kijanja nyie hamjajua tyuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu anatafuta wa kumuonea huruma ampe iphone kijanja nyie hamjajua tyuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi ninazo tatu kama atakubali nitampa bure ili atupunguzie kelele humuπŸ˜€
 
Ni kweli siyo la kukataa hilo,watumiaji wengi wa simu Tanzania tunapenda kuzitumia ki-star star (ndiyo ushamba wenyewe huo)

Nina jamaa yangu anamiliki yard ya magari pale Manzese Tip Top simu anayotumia ni Tecno siyo kwamba uwezo wa kununua simu kubwa na ya gharama hana ni nadhani hajataka tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…