Watumiaji wa JF wakutanishwe katika uwanja mmoja.

Watumiaji wa JF wakutanishwe katika uwanja mmoja.

Gentamycine - haka ka jamaa bana Kana matusi sana 😀 watu wamekapania watakavunja mguu 😀

Citizen B - huyu mzee wakupindua meza. anawakera sana waleta uzi 😀 anaweza akabadili uzi unaongelea mpira ukawa wa dini 😀 afu kana mabifu sana. haka kana tafutwa sana 😀
 
Back
Top Bottom