Watumiaji wa mtandao someni ushauri huu

Watumiaji wa mtandao someni ushauri huu

himiri

New Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
3
Reaction score
5
Kuna hoja na mada mbalimbali humu zinazotolewa na members, na members hawa wengi nimeona ni wataalamu wa kitu wanachokiongea, utaalamu si tu wa darasani ila pia kupitia experience ya jambo lake analozungumzia.

My concern ni kwamba, kuna mtu anaanza poa kabisa kutoa hoja yake (au just commenting), lakini mwisho wa hoja yake basi daaah matusi makubwa au kebehi kwa mtoa hoja mwenzie.

Humu tunajadiliana, yes, tunajifunza, yes, kila mtu ana utaalamu wake, yes, sasa kwanini umtukane mtu kasema jambo according na utaalam wake.

Mfano mtu wa sheria katoa hoja zake based on sheria then anakuja kua roasted na mhandisi n.k.

Simaanishi mhandisi achangie kwa mhandisi, ila wewe kama sio mhandisi basi jifunze kwake, ama mtu wa sheria akishuka utaalam wake apo basi tuokote tusichojua na tuwashiane moto vile vitu unaona viko off lakini respectiful ili nae ajipange kuleta maujuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom