Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Mimi tangu 2000 nimo nikiwa MOSHI nikasajiri m-pesa BABATI stendi hadi sasa nimo kama WasiraMiaka 9, we bado sana dada, watu tumo kwenye huu mtandao zaidi ya miaka 30 ila wewe yawezekana ukiweka vocha ya jero unapewa dh 25 za wiki, harafu unakuwa mzee wa kubip wenzako na kuwa miss call.
Sasa haya matatizo huwezi yajua hata ukiwa voda miaka40.
Kunawatu tunanunua vifurushi vya 30000/= vya mwezi kwa ajiri ya internet bado vifurushi vya kuongea hivyo wewe bado mchanga kwenye matumizi ya sim, nasimu labda yakuhongwa dada. Vocha mpk uwekewe utajuaje.
Hiyo haitoshi unakopa Pesa m-pesa kabisaKopa salio kisha usilipe
Nmekuelewa mama kayayiMiaka 9, we bado sana dada, watu tumo kwenye huu mtandao zaidi ya miaka 30 ila wewe yawezekana ukiweka vocha ya jero unapewa dh 25 za wiki, harafu unakuwa mzee wa kubip wenzako na kuwa miss call.
Sasa haya matatizo huwezi yajua hata ukiwa voda miaka40.
Kunawatu tunanunua vifurushi vya 30000/= vya mwezi kwa ajiri ya internet bado vifurushi vya kuongea hivyo wewe bado mchanga kwenye matumizi ya sim, nasimu labda yakuhongwa dada. Vocha mpk uwekewe utajuaje.
Imenitokea jana hii, mie salio lipo ila wanaiambia hamna kitu, kuja cheki wamekula pesa.Nishawahama kitambo tangia niwe naweka vocha alafu najiunga vifurushi naambiwa sina salio la kutosha kila mara. Na nikicheki salio nakuta washaramba kitambo
Wangese sana hawa voda. Na nitaendelea kuwahamasisha ndugu zangu wahame huu mtandao. Nimeuvumilia for more than 2 years wakila masalio yangu nauchuna tu.Imenitokea jana hii, mie salio lipo ila wanaiambia hamna kitu, kuja cheki wamekula pesa.
Mie na familia yangu kama tumepewa limbwata, ngoja tuvumiliane, vodacom wana huduma nzuri ila charges, makato na wizi wao upo juu..Wangese sana hawa voda. Na nitaendelea kuwahamasisha ndugu zangu wahame huu mtandao. Nimeuvumilia for more than 2 years wakila masalio yangu nauchuna tu.
Ukichelewa kulipa wanatoa vitisho kila baada ya saa sita kwamba watakushitaki kwa kosa la wizi mtandaoni. Sitaki kabisa kukopa huko kwa jinsi wanavyodhalilisha wateja wao na kuwaona kama wezi.Hawa jamaa ma M pawa yao ndiyo wezi kabisa.
Tafuteni wataalam waliondoe hilo limbwata. Vinginevyo mtaendelea kuibiwa kwa mtindo wa makato na wizi katika salio lako.Mie na familia yangu kama tumepewa limbwata, ngoja tuvumiliane, vodacom wana huduma nzuri ila charges, makato na wizi wao upo juu..
Tupa lainiTayali, nina 20 elf ya m.pawa
Makampuni ya siku Tanzania yananeemeka sana kutoka kwa watumiaji wake, tumelalamika sana sana na kuna thread nyingi humu bahati mbaya hakuna pa kukimbilia hata yule jamaa eti anajiita, MTETEZI WA WALAJI akiwepo na huyu TCRA hawana faida zaidi ya kukamata watuaji wanaokiuka.
Nlikuwa mteja mzuri wa Tigo lakini kutokana na gharama ya vifurushi vyao nikahamia Voda. Na huo usumbufu unauongelea sijakumbana nao.
Jaribu kuzima data unapoweka vocha Hadi ujiunge hicho kifurushi chako na ukishajiunga angalia salio Kwanza Kama limekatwa ndo uwashe data. Unaeza assume nishajiunga kumbe salio bado halijakatwa ukawasha data, salio ndio likawa linatumia.
Na pia Hakikisha hujajiunga kwenye huduna zao zozote zinazokataga salio, like callertunes sijui sports news, kusikiliza Hadith za shigongo. Nk
Kutokana na usajili wa alama za vidole, sasa hivi huo unyambilisi wa kuifungia na kuigawa kwingine hawawezi, labda kui cease tu. Lakini utapo itaka lazima itakuwepo.Sasa hivi nikimpa mtu namba siwezi mpa ya Voda maana nina mpango wa kutoweka salio hadi waifungie