Watumiaji wa Mtandao wa Simu ya Kampuni ya Voda kuweni makini

Watumiaji wa Mtandao wa Simu ya Kampuni ya Voda kuweni makini

Niliisusa line ya voda kwa miaka mitano,Siweki vocha wala mpesa,week tatu haiko hewani week moja ipo hewani, mwanzon mwa mwaka huu nikaanza kupoke meseji ya offer kwa virushi flani.
nimeenda nao mwezi mzima nafurahia offer
,saizi nishatolewa kwenye ofa kila nikiangalia nakut bundle za ajabu ajabu.
Nawavutia kasi soon ntawatema miaka 7.
🤣🤣🤣 hiyo nimeipenda, na mm stupi line, ntafanya hivyohivyo.
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Back
Top Bottom