Watumiaji wa mtandao wa X wamefilisika kifikra au?

Uwazi mkubwa sana kk
 
Inategemea unawafollow watu gani. Ukiwafollow wapumbavu na usipowablock utakutana na upumbavu wao
 
Unaongelea X gani kwa sababu Mimi X ninayoijua sijawahi kutana na maudhui ya ajabu ajabu.
 
Kama mtu anaona face book ni bora kuliko x (twitter) huyo ni wakumsamehe.
 
Algorithm unapoperuzi irnakuwa inakuchekii tuu.
Macho yako yakidumuu kwenye kitu hicho kwa dakika 1 yenyewye inaamini unakiipenda.
Sasa ww umeona habari ya baltazarii,ukaona ile content imewekewa tahadhari ya ukungu na maelezo ya onto ww unaamua kuchungulia eeehh utoasogezewa nyuchi za kutosha maana inaona kumbe ww unapeendaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…