Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana.
Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps, mipangilio ya simu, ufanisi, stability pamoja na security kwa ujumla.
kama unatumia Simu ya Samsung Kuna toleo jipya la Samsung One UI version 8.5 ambalo linakuja na feature mbalimbali mpya zenye kupendezesha simu yako.
Angalia hizo picha tafadhari 👇
✅ LIQUID GLASS kwenye apps
Kwa mara ya kwanza watumiaji wa Samsung Galaxy wataweza kuona Mfumo wa Liquid kwenye apps na Mfumo wa simu kama ilivyo kwenye Apple.
✅ Quick Panel Customization
sasa unaweza kupangilia Quick Panel yako utakavyo kwa kuhamisha kuweza size upendayo pamoja na Widgets kwa urahisi
✅ Zuia simu za utapeli
Sasa ni Automatiki simu ysko itaweza kuzuia zile simu zote za utapeli bila hata kupokea simu yoyote unapopigiwa yenyewe itaweza kugundua.
✅ Samsung Creative Studio 🎙️
Samsung wametambulisha app yao ambayo itakusaidia kuweza kutengeneza wallpaper (picha) mbalimbali kupitia Teknolojia ya Ai.
Ndani ya app utaweza kuandika prompt ambayo itakupa uwezo wa kutengeneza wallpaper nzuri zenye ubora wa 4K kwa watumiaji wa Samsung.
✅ Share storage na iOS
Sasa unaweza share files na storage kwa urahisi kwa watumiaji wa Samsung kupitia Quick setting Menu.
Utaweza kuhamisha files lolote toka kwenye Android kwenda iPhone kwa urahisi na Haraka zaidi kupitia simu yako ya Samsung bila shida yoyote.