Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Kuna kibibi flani kilikuwa kinapenda kweli kutumia hii kitu sanaa,.yani yule ni bange kabisaaa
Hawa wabibi sijui kwann wanapenda hizi nyota mana mwenyewe kitaa kuna bibi huwa ananunua nyota na magadi anachanganya afu anaweka mdomoni kama ugoro
 
Yaani hata sijui nikuelezeeje dia,.ila ina stimu flani hivi yaani tamu si tamu hahaha...kama pombe tuu uchungu ndio utamu wenyewe....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ina stimu. Nakumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa akiudhiwa hapoi mpaka avute sigara kwanza. Mdada ni mzuri balaa na ni mpole huwezi amini.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ina stimu. Nakumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa akiudhiwa hapoi mpaka avute sigara kwanza. Mdada ni mzuri balaa na ni mpole huwezi amini.
Ina stimu flani hivi yaani daah,.basi bwana nisije nikaenda kwa mangi SAA hii[emoji16][emoji16]
 
Aah! Ulikua unapiga vitu?
Kupiga wapi ndugu!mh siku moja nimejikuta nina mawazo si nikaenda nunua embassy bana nikavuta vizuri..sasa kumbe Mama aliniona akakausha kimya..jioni akaja mpa taarifa Baba(R.i.p) ile siku ndio nilijuaga kumbe Baba nae hua ni mkali..kidogo nivunjwe
 
Hongera sana, maana nasikia huwa ni vigumu sana kwa mvuta sigara kuacha
Ni maamuzi tu....ukiamua kuacha unaweza kabisa....unaacha taratibu mpaka unaacha kabisa kwa kupunguza kiwango au idadi ya sigara na mwisho kuicha kabisa Ila tiba kubwa ni kuhakikisha unafanya kazi zitakazokufanya uvuje jasho kwa wingi kwa maana ya kupunguza kiasi cha nikotine ili kuondoa hamu ya sigara.....
 
Hivi uzuri/ utamu wa sigara ni nini?
Mimi sijawahi kuvuta ila huwa napenda sana harufu ya moshi wake.
Ile kuuvuta moshi na kuupuliza nje kwa swagger ni burudani tosha pia kichwani inaacha stim flan hv.... ila pia usisahau kwenye mapafu inaacha sumu
Yaani hata sijui nikuelezeeje dia,.ila ina stimu flani hivi yaani tamu si tamu hahaha...kama pombe tuu uchungu ndio utamu wenyewe....
Hahaha!!
 
Kupiga wapi ndugu!mh siku moja nimejikuta nina mawazo si nikaenda nunua embassy bana nikavuta vizuri..sasa kumbe Mama aliniona akakausha kimya..jioni akaja mpa taarifa Baba(R.i.p) ile siku ndio nilijuaga kumbe Baba nae hua ni mkali..kidogo nivunjwe
Aisee pole sana rafiki kumbe wewe safari yako ya uvutaji ulilikatishwa mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…