Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Hongera sana, maana nasikia huwa ni vigumu sana kwa mvuta sigara kuachaNilikuwa addicted sana na hiyo makitu kwa zaidi ya miaka 20, namshukuru sana sana sana Mwenyezi Mungu nilifanikiwa kuacha kuvuta sigara kwa zaidi ya miaka 10 sasa