Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Kumbe inabidi zoezi la kuacha liambatane na mazoezi au kazi za kutumia nguvu zaidi?
 
Kila mtu na starehe yake nilijaribishaga kuvuta shisha tumetoka rafiki zangu kila mtu na mtungi wake nawaona kabisa wanaenjoy nikasema na mm ngoja nijaribu naona moshi tu sijaona raha yoyote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli, hata mama yangu alikuwa na wasiwasi kuwa ipo siku nitavuta. Lakini hapana nimekaa sana na wavutaji ila sijawahi kushawishika kuvuta. Naishia tu kufurahia harufu ya moshi
Mmmh
Angalia vizuri wanasema ule moshi hudhuru kuliko anayevuta!!! Mie nikisikia harufu ntakohoa mpaka nitapikee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…