Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Ni maamuzi tu....ukiamua kuacha unaweza kabisa....unaacha taratibu mpaka unaacha kabisa kwa kupunguza kiwango au idadi ya sigara na mwisho kuicha kabisa Ila tiba kubwa ni kuhakikisha unafanya kazi zitakazokufanya uvuje jasho kwa wingi kwa maana ya kupunguza kiasi cha nikotine ili kuondoa hamu ya sigara.....
Kumbe inabidi zoezi la kuacha liambatane na mazoezi au kazi za kutumia nguvu zaidi?
 
Kila mtu na starehe yake nilijaribishaga kuvuta shisha tumetoka rafiki zangu kila mtu na mtungi wake nawaona kabisa wanaenjoy nikasema na mm ngoja nijaribu naona moshi tu sijaona raha yoyote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom