Pumba Master
Senior Member
- Jan 19, 2018
- 144
- 176
Kwa matukio maalumu??Mm sio mvutaji lakini naonja kwa mwaka Mara 2 na kwa matukio maalumu,..naipenda sana ubalozi(embassy) na Carmel[emoji6] nikikosa basi sports.
Okay,mfano matukio gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa matukio maalumu??Mm sio mvutaji lakini naonja kwa mwaka Mara 2 na kwa matukio maalumu,..naipenda sana ubalozi(embassy) na Carmel[emoji6] nikikosa basi sports.
Habari za Muda huu Wakuu,
Binafsi nina Addiction ya uvutaji Sigara. Wale wenye addiction ya uvutaji wa Sigara tubadilishane mawazo na tupeane maujanja na kujuzana aina mbali mbali za Sigara na flavor zake.
Personally huwa navuta most of cigarettes isipokuwa zenye sweet menthol kutokana na mahali nilipo na Upatikanaji wa Sigara kwa Muda huo.
Karibuni.
Hahah!! Sivuti jaman wapendwa wanguHahaha
Kasema anaona kwa majirani tuu
Sidhani jamani sigara zote anazijua
Iwe kweli jamaniHahah!! Sivuti jaman wapendwa wangu
KabisaIwe kweli jamani
HahahaSidhani jamani sigara zote anazijua
MmmhHahah!! Sivuti jaman wapendwa wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaHahaha
Ngoja niondoke mieee
Asante sanaMm sio mvutaji lakini naonja kwa mwaka Mara 2 na kwa matukio maalumu,..naipenda sana ubalozi(embassy) na Carmel[emoji6] nikikosa basi sports.
First thing you should know about me is that I'm not you. Alot more will make sense after that. I said I'm addicted. I'm not ashamed of that.Watu wengine wapuuzi sana, umesema una addiction, mimi nilifikiri unauliza namna ya kuacha mshauriane wewe unauliza ladha? Mungu wasaidie watu wako!
Wewe ni mzoefu wa sigara bwege embu tupe kilichomoHahaha shunie sweetheart we achana nayo tuu,..hiyo Mara 1 kwa mwaka naenjooooyy mwenyewe,.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana
Dah....20yrs x 360days x 5sigara = sigara 36000Nilikuwa addicted sana na hiyo makitu kwa zaidi ya miaka 20, namshukuru sana sana sana Mwenyezi Mungu nilifanikiwa kuacha kuvuta sigara kwa zaidi ya miaka 10 sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tuHahaha
Nyie mtaanza kuja kunisuta bureee!!! Mapenzi bwana
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu
First thing you should know about me is that I'm not you. Alot more will make sense after that. I said I'm addicted. I'm not ashamed of that.