Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Mm sio mvutaji lakini naonja kwa mwaka Mara 2 na kwa matukio maalumu,..naipenda sana ubalozi(embassy) na Carmel[emoji6] nikikosa basi sports.
Kwa matukio maalumu??
Okay,mfano matukio gani?
 
Watu wengine wapuuzi sana, umesema una addiction, mimi nilifikiri unauliza namna ya kuacha mshauriane wewe unauliza ladha? Mungu wasaidie watu wako!
 
Watu wengine wapuuzi sana, umesema una addiction, mimi nilifikiri unauliza namna ya kuacha mshauriane wewe unauliza ladha? Mungu wasaidie watu wako!
First thing you should know about me is that I'm not you. Alot more will make sense after that. I said I'm addicted. I'm not ashamed of that.
 
Nilikuwa addicted sana na hiyo makitu kwa zaidi ya miaka 20, namshukuru sana sana sana Mwenyezi Mungu nilifanikiwa kuacha kuvuta sigara kwa zaidi ya miaka 10 sasa
Dah....20yrs x 360days x 5sigara = sigara 36000
...dah
 
Nakumbuka enz za utoto nilinunua sigara nikaivuta pafu moja tu matata.

Nilikohoa hadi kuruka sarakasi na ndo ikawa mwisho wake. Nahisi ilinipalia
 
First thing you should know about me is that I'm not you. Alot more will make sense after that. I said I'm addicted. I'm not ashamed of that.

"YOU" - NOT "THEM"..... PUBLIC THINGS ARE AIMING AT HELPING PEOPLE..... if you put it public, it is a public concern, if you keep it private is none of anybody's business, do you understand me smart S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…