who said it's a problem that I have to aim to help if I share it with Others? Not all your experience is the same on everything you come across. look at the numbers of people on this thread and tell me the greater number isn't proud of cigarettes smoking addiction . Might be your insecurity but to others is Their Power. So before you say anything else think about that Mr big asset guy."YOU" - NOT "THEM"..... PUBLIC THINGS ARE AIMING AT HELPING PEOPLE..... if you put it public, it is a public concern, if you keep it private is none of anybody's business, do you understand me smart S
Aisee mnanukaga balaaWavutaji wa sigara wote ni mataahira wanaambiwa ina madhara lakini bado wanavuta
who said it's a problem that I have to aim to help if I share it with Others? Not all your experience is the same on everything you come across. look at the numbers of people on this thread and tell me the greater number isn't proud of cigarettes smoking addiction . Might be your insecurity but to others is Their Power. So before you say anything else think about that Mr big asset guy."YOU" - NOT "THEM"..... PUBLIC THINGS ARE AIMING AT HELPING PEOPLE..... if you put it public, it is a public concern, if you keep it private is none of anybody's business, do you understand me smart S
Sijui umejuwaje kuwa hawaelewi, Ukweli wanaelewa ila hawatekelezi, kuendana onyo, hii ipo kila penye, madhara, watu wangekua wanazingatia, maafa yasingetokea, Mfano: kundesha gari nje ya tahadhari usalama barabarani, Ukimwi mpaka leo watu wanaambukizwa.We unaambiwa kitu fulani sumu bado unatumia ile haina sijui utumie Kidogo kama bia Wanakwambiaje'ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO'mtu ambaye haelewi tunamfananisha na taahira nimetumia neno hili kumaanisha mtu asiyeelewa
Nyie mataira kweli sigara imeandikwa ni hatari kwa afya nyie mnavuta mataira wakubwa sana mnamwitaji Yesu awatoe pepo hiloSivuti Sigara, ila wewe ulie na akili timamu, ulitakiwa kuonyesha, kuwa unaakili timamu,
kwa kuwashauri, kwa maneno mazuri. Ila unapowaita matahira wakati ni watu wenye akili timamu, Wanaendesha mipango yao vizuri, na wengine wamefanikiwa zaidi yako. Wachina %80 wanavuta Sigara.
Maprofesa, Madaktari, Walimu, na Watalaam wa fani mbali mbali wanavuta sigara.
Unajua, Uji ukiuita Maziwa pale wewe utaonesha dalili za utahira, Sasa wewe wavuta sigara, kuwaita matahira, huku ikijulikana ni watu na akili zao, Sijui tahira ni nani kati yako na wao.
Tufunge tu mjadalaSijui umejuwaje kuwa hawaelewi, Ukweli wanaelewa ila hawatekelezi, kuendana onyo, hii ipo kila penye, madhara, watu wangekua wanazingatia, maafa yasingetokea, Mfano: kundesha gari nje ya tahadhari usalama barabarani, Ukimwi mpaka leo watu wanaambukizwa.
Ila wanaopata madhara hayo siyo, matahira, hili neno tahira wewe hulielewi maana yake, ndiyo maana nikueleza, kuna watu wana akili zaidi yako, wanauwezo wa kifedha zaidi yako, na wangali wanavuta sigara, wewe nani uwatoe akili.
Mkuu mi sivuti wananuka hao wanaovuta alafu hawajielewiAisee mnanukaga balaa
Unaanzia popote!! Naskia huwa ni Kali Sana hiyo kitu. Kuna jamaa enzi hizo kichuo chuo alikua akivuta nyota utamkuta pekeake gizani anafreestyle kama ngwair(r.i.p)Hahahahaha daaah,..nyota sijawahi ila naipenda kwa sababu haina pakuanzia[emoji23][emoji23]
Hahahahaa nyota balaaUnaanzia popote!! Naskia huwa ni Kali Sana hiyo kitu. Kuna jamaa enzi hizo kichuo chuo alikua akivuta nyota utamkuta pekeake gizani anafreestyle kama ngwair(r.i.p)
Mbona naona ni kama opposite vile??Wavutaji wa sigara wote ni mataahira wanaambiwa ina madhara lakini bado wanavuta
Mdau wa ubaloziEmbassy ubalozi
Ushavutaga kwani mi nishawahi kuonja bangi nikiwa nadoma pale azaboy ili mida fulani tuende Bill canas club aisee nilikuwa naona kama dunia nzima wamenong'onezwa kuwa nimevuta bangi aisee tangu siku ile nikasema sivuti tena sigara nitavuta pumzi tu [emoji23] [emoji23]Hahah!! Nipo mkuu billie tunausindikiza tu uzi