Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Mabinti wengi wakienda kwenye starehe wanavuta sigara na bangi kama fassion.
Binafsi sivuti ila huwa namnunulia mshikaji wangu fegi zile za promosheni ili nichukue zawadi tu...[emoji3]
 
Wavutaji wa sigara wote ni mataahira wanaambiwa ina madhara lakini bado wanavuta
Mimi navuta na maisha mazuri na afya njema na nacreate vitu vipya na napata kila ninachohitaji uliesema ss wavuta sigara ni matahira badilisha kauli tuombe msamaha tatizo umelelewa na mzazi mmoja pole kwa mtazamo hasi.
 
Hiyo sigara inayokupa afya njema ni ipi tatizo hamtaki kukiri kuwa mnavuta sumu mnaona aibu kuacha we ni kama mtu asiyejielewa nitajie faida yoyote ya sigara kwenye mwili wa binadamu
 
Like ya bure kabisa, uko vizuri.
 
Nilikuwa addicted sana na hiyo makitu kwa zaidi ya miaka 20, namshukuru sana sana sana Mwenyezi Mungu nilifanikiwa kuacha kuvuta sigara kwa zaidi ya miaka 10 sasa
Ulitumia njia gani, usiniambie uliamua tu, hiyo kwangu ilishaprove failures.
 
Hongera sana, maana nasikia huwa ni vigumu sana kwa mvuta sigara kuacha
Acha kukariri mkuuu,suala la kuacha au kutokuacha ni maamuzi ya MTU wala hakuna ugumu unaposema kuwa ni ngumu bas mhsika atakuwa na psychological problem
 
Avatar yako tu mkuu inasadifu unayoongea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuuu naomba nicheke Kwa step Kwanza maana dah kubatasam nmeshidwaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Hahah!!! Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…