Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo BabuNilikuwa addicted sana na hiyo makitu kwa zaidi ya miaka 20, namshukuru sana sana sana Mwenyezi Mungu nilifanikiwa kuacha kuvuta sigara kwa zaidi ya miaka 10 sasa
Mimi navuta na maisha mazuri na afya njema na nacreate vitu vipya na napata kila ninachohitaji uliesema ss wavuta sigara ni matahira badilisha kauli tuombe msamaha tatizo umelelewa na mzazi mmoja pole kwa mtazamo hasi.Wavutaji wa sigara wote ni mataahira wanaambiwa ina madhara lakini bado wanavuta
Hiyo sigara inayokupa afya njema ni ipi tatizo hamtaki kukiri kuwa mnavuta sumu mnaona aibu kuacha we ni kama mtu asiyejielewa nitajie faida yoyote ya sigara kwenye mwili wa binadamuMimi navuta na maisha mazuri na afya njema na nacreate vitu vipya na napata kila ninachohitaji uliesema ss wavuta sigara ni matahira badilisha kauli tuombe msamaha tatizo umelelewa na mzazi mmoja pole kwa mtazamo hasi.
Like ya bure kabisa, uko vizuri.Sivuti Sigara, ila wewe ulie na akili timamu, ulitakiwa kuonyesha, kuwa unaakili timamu,
kwa kuwashauri, kwa maneno mazuri. Ila unapowaita matahira wakati ni watu wenye akili timamu, Wanaendesha mipango yao vizuri, na wengine wamefanikiwa zaidi yako. Wachina %80 wanavuta Sigara.
Maprofesa, Madaktari, Walimu, na Watalaam wa fani mbali mbali wanavuta sigara.
Unajua, Uji ukiuita Maziwa pale wewe utaonesha dalili za utahira, Sasa wewe wavuta sigara, kuwaita matahira, huku ikijulikana ni watu na akili zao, Sijui tahira ni nani kati yako na wao.
Ulitumia njia gani, usiniambie uliamua tu, hiyo kwangu ilishaprove failures.Nilikuwa addicted sana na hiyo makitu kwa zaidi ya miaka 20, namshukuru sana sana sana Mwenyezi Mungu nilifanikiwa kuacha kuvuta sigara kwa zaidi ya miaka 10 sasa
Wew inaonyeshaa ni mpnz mtazamaji lakin unafaidika kidogo hongera Sana DavetVipi nyota hujawahi kujaribu?
Hili dongo mleta mada na wenzie lazima waugulie...Wavutaji wa sigara wote ni mataahira wanaambiwa ina madhara lakini bado wanavuta
Acha kukariri mkuuu,suala la kuacha au kutokuacha ni maamuzi ya MTU wala hakuna ugumu unaposema kuwa ni ngumu bas mhsika atakuwa na psychological problemHongera sana, maana nasikia huwa ni vigumu sana kwa mvuta sigara kuacha
Ukitaka kujua Raha ya Ngoma uichezeeee mkuuu so stay tunedHivi uzuri/ utamu wa sigara ni nini?
Mimi sijawahi kuvuta ila huwa napenda sana harufu ya moshi wake.
Hahah poa mkuuWew inaonyeshaa ni mpnz mtazamaji lakin unafaidika kidogo hongera Sana Davet
Pigaga pafu once in a life time maana ni so sweet [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah poa mkuu
Pigaga pafu once in a life time maana ni so sweet [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah poa mkuu
Avatar yako tu mkuu inasadifu unayoongeaPigaga pafu once in a life time maana ni so sweet [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuuu naomba nicheke Kwa step Kwanza maana dah kubatasam nmeshidwaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Avatar yako tu mkuu inasadifu unayoongea
Hahah!!! Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuuu naomba nicheke Kwa step Kwanza maana dah kubatasam nmeshidwaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]