Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetengeneza access point mkuu na kuactivateNimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu. Mweny ujuz na uzoefu na hili msaada please.natumia line ya voda
Kikuu? [emoji848][emoji848] N'way umejaribu mtandao mwingine? Au ndo una laini 1 tu..Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu. Mweny ujuz na uzoefu na hili msaada please.natumia line ya voda
Jaribu kuclear cache mkuu kwenye playstore halafu create access point nyingineNimetengeneza Accesr tayri,ila nikiwasha data na niingie Play store inagoma inaandika"there was a problm communicating with google servers'
Umeinunua sh ngapi kama ni zaidi ya lakimbili na nusu bora ungenunua tekno tuNimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu. Mweny ujuz na uzoefu na hili msaada please.natumia line ya voda
Umeinunua sh ngapi kama ni zaidi ya lakimbili na nusu bora ungenunua tekno tu
😂 😂 😂 😂Umeinunua sh ngapi kama ni zaidi ya lakimbili na nusu bora ungenunua tekno tu
1. Umetengeneza Acess point ama umeikuta? Setting za wap na web zina tabia ya kukataa playstore sababu zina proxy ndani yake. Hakikisha kwenye Acess point kuna setting zenye Apn Internet ama tengeneza yako mwenyewe upya.Nimetengeneza Accesr tayri,ila nikiwasha data na niingie Play store inagoma inaandika"there was a problm communicating with google servers'
Mkuu mi yangu inakataa playstore tuu1. Umetengeneza Acess point ama umeikuta? Setting za wap na web zina tabia ya kukataa playstore sababu zina proxy ndani yake. Hakikisha kwenye Acess point kuna setting zenye Apn Internet ama tengeneza yako mwenyewe upya.
2. Inayokataa ni playstore tu ama data haipandishi kabisa? Website nyengine unaweza kuingia?
Umetengeneza Apn mpya Tayari?Mkuu mi yangu inakataa playstore tuu
Nifanyeje?