Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

Namba 4 ni Mimi kabisa...yani usiombe hiyo siku nivurugwe alafu nikupigie uanze kuniuliza Mimi nani.. Najikutaga nazima na simu yenyewe kabisa...ila nimeanza kurekebisha

Namba7 : inakera mno ..na kuna katabia ka kuazima simu na kumaliza salio lote
Sasa mkuu mtu kama alibadiri namba ulitaka aanze kukisia... then girls ndo mna hii tabia sana
 
Hao siku hizi wamepungua. Mimi yale mavoda taarifa sijui pesa ni mpesa yote nimeblokia mbali huko kwa hiyo siku nikiamua kusoma ndio naenda kuziangalia
tuma kwenye namba hii naona hawajakuwa shida kwako eeh?? SMS za promotion vp
 
Sasa mkuu mtu kama alibadiri namba ulitaka aanze kukisia... then girls ndo mna hii tabia sana
Aah wapi men ndio mnatia fora japo ni kweli watu wengine wanakera ye kila ukimpigia anakuuliza we nani?
 
Wale wanakutumia message, Hi I'm Ibra nimepewa namba yako na mtu nilikuona nikamuuliza akaniambia anakujua akanipa namba. Namuuliza enhee kwahiyo nikusaidie nini na ni nani aliekupa namba yangu. Anaanza ooh tuonane utajua yote hayo. Sheeenzi unakula block moja takatifu.


Au mtu anapiga simu eti mi bf wako au namba yangu umefuta? Jibu huwa nina mabf wengi embu nikimbushe we ni yupi kati yao. Ukijizungusha nakata simu ukipiga sipokei na usipojitambulisha ndo inakua milele amina
 
Haha eti I'm your bf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…