Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu mtu kama alibadiri namba ulitaka aanze kukisia... then girls ndo mna hii tabia sanaNamba 4 ni Mimi kabisa...yani usiombe hiyo siku nivurugwe alafu nikupigie uanze kuniuliza Mimi nani.. Najikutaga nazima na simu yenyewe kabisa...ila nimeanza kurekebisha
Namba7 : inakera mno ..na kuna katabia ka kuazima simu na kumaliza salio lote
tuma kwenye namba hii naona hawajakuwa shida kwako eeh?? SMS za promotion vp
Me too my love, yesterday I was so busy it's why I failed even to call you.I miss you
Hilo atajua mwenyeweSasa mkuu mtu kama alibadiri namba ulitaka aanze kukisia... then girls ndo mna hii tabia sana
Ilo la kuuliza hutokea baada ya kuzima simuHaha sasa si uulize kwanza imekuwaje mama
Wanaume wachache..Hilo atajua mwenyewe
Hata wanaume mna kasumba iyo
Thank you sweetieUsijali love I understand
Awww. ..kupendwa rahajeThank you sweetie View attachment 938099
You are my everything, sleep wellAwww. ..kupendwa rahaje
Haha eti I'm your bfWale wanakutumia message, Hi I'm Ibra nimepewa namba yako na mtu nilikuona nikamuuliza akaniambia anakujua akanipa namba. Namuuliza enhee kwahiyo nikusaidie nini na ni nani aliekupa namba yangu. Anaanza ooh tuonane utajua yote hayo. Sheeenzi unakula block moja takatifu.
Au mtu anapiga simu eti mi bf wako au namba yangu umefuta? Jibu huwa nina mabf wengi embu nikimbushe we ni yupi kati yao. Ukijizungusha nakata simu ukipiga sipokei na usipojitambulisha ndo inakua milele amina
Haha eti I'm your bf