Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

Kuna anayekupigia anakwambia Kuna Meseji Nakutumia naomba unijibu! Si useme moja kwa moja?
 
Michepuko: unaweza kukupigia na kukuta upo kwenye kwenye mazingira hatarishi (upo na waziri mkuu kwa mfano) na inabidi uikate ile simu. Badala ya mtu kujiongeza, unashangaa anapiga tena na tena na tenaaa😀
Unakuwa hujamwambia kuwa kuna mwenzio nyumbani kwa iyo kuwa mlole ninapokata simu
 
Kuna anayekupigia anakwambia Kuna Meseji Nakutumia naomba unijibu! Si useme moja kwa moja?
Haha inawezekana yupo sehemu ambayo kuna watu wengi na jambo lenyewe ni nyeti au anaona aibu kusema kwa mdomo
 
Harafu unakuta ni mwanaume [emoji3][emoji3]kuna washikaji zangu kama wawili huwa wananikera sana,unampa maelezo marefu kabisa na ya msingi harafu anakujibu k,p
Mi hua nawaambia kabisa wakae wakijua
 
Unakuta sms

Vp

Unajibu : Poa

Anatuma:Nambie

Very boring
 
Mimi kinachoniboa ni mtu kutumia simu huku akiwa anaendesha.

Ni hatari sana.

Ni hatari kwa wote walio barabarani na walio karibu na barabara.

Iundwe sheria maalumu ya kupiga marufuku hayo mazoea.

Usalama barabarani.
 
Vitu vinavyoniboa

1. Wanawake kuamini kwamba wenyew hawanaga story bas kila siku anataka uanzishe stor wew.

2. Mtu unachat nae kitu fulan unaandika msg yenye maneno kadhaa yakiwemo maswali au umeandika msg tatu zote ana summarize kwa kukujibu kwa Emoji moja [emoji5]

3. Ulikuwa unachat na mtu labda kwa bahat mbaya akatoka or akapata shughuli nyingine na wew ndo ulikuwa wa mwisho kuandika msg na ilikuwa inakitu anachotakiwa kujibu akirud anajifanya kama hajakiona anaendelea na mambo mengine
 
Haha boss naona kero zako zote tatu zinatulenga wanawake.
 
Kuna mambo huwa nachukulia kama dharau tu kwakweli, kumtumia mtu text inayohitaji majibu ya haraka then anakuja kukujibu baada ya siku 5, huwa natamani hata kutukana basi tu.
Ukiona kimya piga simu ili upate majibu ya haraka
 
Namba 1, 2 & 4 ni very common.....
Kuna wale wanaokosea namba unawaambia wamekosea ila hawakati simu wataanza maswali...kwani wewe nani?? Unaishi wapi?..... Unauliza maswali yote hayo ili iweje wakati ushaambiwa ni wrong no??
 
Haha boss naona kero zako zote tatu zinatulenga wanawake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mwanaume akileta tabia hizo una fyekelea mbali

Ila kuna wanaume wananiboa pale ambapo hamjawasiliana kama mwaka anakupigia anaanza kulalamika we jamaa unanitenga, hunipigii simu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…