Watumiaji wa simu ya Xaomi Redmi 9A niambieni mnaweza kunishawishi ninunue hii simu?

Watumiaji wa simu ya Xaomi Redmi 9A niambieni mnaweza kunishawishi ninunue hii simu?

Mi natumia Xiaomi Poco x3 pro nzuri hata baada ya hii ntarudi kwenye kampuni hii mkuu fast charge 33W prosesa snapdragon 860,
 
ni sh ngapi hizo
JamiiForums1275264145.jpg
scan uingie kwenye hili jukwaa utakutana na wauzaji wa hizi simu pia wadau watakushauri simu gani nzuri kulingana na budget yako
 
Hii simu ina ubora gani na inarate sh ngapi?
Achana nayo ya zamani hiyo, chukua redmi 10a au 10c kama bajetiinaruhusu. Ni simu nzuri kuliko tecno au samsung galaxy matoleo ya "A" ila sio tamu kama huawei, iphone au samsung matoleo ya "Note & S" kama unatokea kwenye infinix na tecno utafurahi mpaka unenepe ila kama unatokea kwa iphone na huawei basi nenda pole pole usitegemee maajabu sana
 
Back
Top Bottom