Watumiaji wa simu ya Xaomi Redmi 9A niambieni mnaweza kunishawishi ninunue hii simu?

Mi natumia Xiaomi Poco x3 pro nzuri hata baada ya hii ntarudi kwenye kampuni hii mkuu fast charge 33W prosesa snapdragon 860,
 
Ni simu mbaya maana ina space ndogo
 
Hii simu ina ubora gani na inarate sh ngapi?
Achana nayo ya zamani hiyo, chukua redmi 10a au 10c kama bajetiinaruhusu. Ni simu nzuri kuliko tecno au samsung galaxy matoleo ya "A" ila sio tamu kama huawei, iphone au samsung matoleo ya "Note & S" kama unatokea kwenye infinix na tecno utafurahi mpaka unenepe ila kama unatokea kwa iphone na huawei basi nenda pole pole usitegemee maajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ