Watumiaji wa simu za Google Pixel pitieni hapa

Watumiaji wa simu za Google Pixel pitieni hapa

Kumbe hizi simu ndo zina shida hivi? Mbona watu huwa wanazipamba mno?
 
mimi ninayo pixel 4a ila imemwaga wino naomba wapi naweza pata screen mpya?
Nenda kariakoo utapata andaa 260k kwa pixel 4a 5G.

Au lete 300k nikupe hii yangu, ipo na box lake na charger yake, shida yake haisomi line baada ya ku-update to android 14. Lakini inafanya kazi kama kawaida, internet unaingia kwa WiFi
 
Kumbe hizi simu ndo zina shida hivi? Mbona watu huwa wanazipamba mno?
Sio kwamba zina shida zote, huku bongo nyingi zinakuja used na refurb ndiyo maana ukinunua unabet tu... Ukitaka unyama vuta mpya, ila overall pixel kwenye hardware sio wazuri wanatumia material simple sana.. ila kwa software wako njema mno simu nyepesi kwenye performance sabu ya stock android..
 
Nenda kariakoo utapata andaa 260k kwa pixel 4a 5G.

Au lete 300k nikupe hii yangu, ipo na box lake na charger yake, shida yake haisomi line baada ya ku-update to android 14. Lakini inafanya kazi kama kawaida, internet unaingia kwa WiFi
Duh, janga
 
Kuhusu simu kuwa nzito ikiwa connected na charger, tatizo ni aina ya charger unayotumia.... ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom