Watumiaji wa truecaller kuna hatar mbeleni

ThatMan

Senior Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
119
Reaction score
178
Je,ww ni mtumiaji wa truecaller ile application kwenye simu basi hii inakuhusu, truecaller ni application ya kutambua namba ngeni inayokupigia sasa basi kama ww unaitumia hyo uko kwenye hatar kubwa ya mtu kujua namba yako akishafahamu jina lako.

Hivi wale wanaotumia premium ukienda kwenye upande wa search ukaandika mfano "wema sepetu" unaletewa maelezo yake mengi na namba yake ya simu na picha, kwahyo unaweza kuandika jina la mtu yeyote na unapata namba yake ya simu hii ni hatar sna

Kwa wale wanaotumia truecaller ya kawaida isiyo ya malipo ukiwa unataka namba ya mtu unaweza kuipata kwa kuandika jina lake huyo mtu mfano "Diana" watakuja majina mengi na information zao baadhi utapata namba zao wengine utakosa mpaka uwe na premium

Sharing is Carring , cha kufanya ingia kwenye hyo application zuia namba zako na information zako watu wengine wasione,japo ukiwa na ufundi kidogo unaweza kuona namba ya Kila mtu mwenye hyo application
 
Aseee! Ushaharibu! Kwako unaona umetoa onyo kwetu ni raha. Tunaanza kutafuta namba za watu tunaowazimia ila wanatuuliza tumetoa wapi namba! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aseee! Ushaharibu! Kwako unaona umetoa onyo kwetu ni raha. Tunaanza kutafuta namba za watu tunaowazimia ila wanatuuliza tumetoa wapi namba! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848]

Technology technology technology tuwe nayo makini sana
 
Hiyo namba italeta utambuzi kama inatumika kwny social media,wengine sisi huwa hatuweki namba kwny mitandao
Ni kweli ukiweka kwenye mtandao, pia kama Kuna mtu kakusave ww kwa jina lako afu anatumia truecaller hyo namba yako inaingia kwenye saver ya truecaller
 
Hatari ipi kijana ya mtu kujua namba ya simu.
 
Hatar kwa maana watu wengi wanaweza Pata mawasiliano yako kwa urahisi
 
Hiyo namba italeta utambuzi kama inatumika kwny social media,wengine sisi huwa hatuweki namba kwny mitandao
Mimi ukinicheck huko inakuja username yangu tuu ya kwenye mitandao, sio jina la mshahara
 
Unawezaje kusearch number kwenye Truecaller...?
 
Aseee! Ushaharibu! Kwako unaona umetoa onyo kwetu ni raha. Tunaanza kutafuta namba za watu tunaowazimia ila wanatuuliza tumetoa wapi namba! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha kaharibu kabisa kwa mabaharia na maharia
 
Kumbe kama unashida na jiwe, unaandika jiwe, namba yake inatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…