Je,ww ni mtumiaji wa truecaller ile application kwenye simu basi hii inakuhusu, truecaller ni application ya kutambua namba ngeni inayokupigia sasa basi kama ww unaitumia hyo uko kwenye hatar kubwa ya mtu kujua namba yako akishafahamu jina lako.
Hivi wale wanaotumia premium ukienda kwenye upande wa search ukaandika mfano "wema sepetu" unaletewa maelezo yake mengi na namba yake ya simu na picha, kwahyo unaweza kuandika jina la mtu yeyote na unapata namba yake ya simu hii ni hatar sna
Kwa wale wanaotumia truecaller ya kawaida isiyo ya malipo ukiwa unataka namba ya mtu unaweza kuipata kwa kuandika jina lake huyo mtu mfano "Diana" watakuja majina mengi na information zao baadhi utapata namba zao wengine utakosa mpaka uwe na premium
Sharing is Carring , cha kufanya ingia kwenye hyo application zuia namba zako na information zako watu wengine wasione,japo ukiwa na ufundi kidogo unaweza kuona namba ya Kila mtu mwenye hyo application