Watumiaji wa Unlimited Internet leteni mrejesho

Katukatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
359
Reaction score
613
Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa nipeni some recomendations

IMG-20210714-WA0001.jpg
 
Mkuu wifi ni kipitisho tu cha internet/data haina tofauti na Hdmi, usb cable, ethernet etc.

Ili wifi ikupe internet source inaweza ikawa Fiber, line ya simu, Adsl, satelite internet etc.

Uliza vizuri huko mikoani wifi yao inatokana na nini? Unaweza tozwa bei kubwa kumbe ni satelite internet ambayo ping ni kubwa.

Na mjini una options nyingi around 70,000. Kuna Zuku, Home faiba, Raha, TTCL etc. Kwa hio 10mbps.
 
Mkuu kama mtu unaishi nje ya mji mfano maeneo ya Ununio, ipi ni option nzuri kwa unlimited internet?
 
Mkuu wifi ni kipitisho tu cha internet/data haina tofauti na Hdmi, usb cable, ethernet etc.

Ili wifi ikupe internet source inaweza ikawa Fiber, line ya simu, Adsl, satelite internet etc.

Uliza vizuri huko mikoani wifi yao inatokana na nini? Unaweza tozwa bei kubwa kumbe ni satelite internet ambayo ping ni kubwa.

Na mjini una options nyingi around 70,000. Kuna Zuku, Home faiba, Raha, TTCL etc. Kwa hio 10mbps.
hyo 70k
inakuwa unlimited mwez mzma au?
 
Malipo kwa mwezi ni la 115k?, je gharama za kununulia je? Na vip speed yao ya internet.

Je hamna wifi router nayoweza Pata kwa bei ya chini kidogo mkuu?
Router mkuu haikupi internet, router imaunganisha tu vifaa internet inakuja kwa Fiber, Copper, mnara wa simu etc.

Speed ni 20mbps kwa 4g na 30mbps 5g, nafkiri hawana installation fee ila wanachukua hela ya miezi 2/3 kama kianzio.

Bei rahisi ni hao TTCL. wao wanaanza 25,000 kwa mwezi.
 
Binafsi nimejiunga na Voda Supakasi Unlimited ya 4G.
Tatizo ambalo limeanza tokea ni kuwa speed imepungua kwa kasi, wiki mbili za mwanzo ilikuwa inacheza 15-19mbps

Ila kuanzia wiki hii ambayo zimebakia siku 12 ili mwezi uishe speed imeshuka napata 1-6mbps.

Inakuwa slow sana, siwezi angalia 720p kwenye TV

Buffering zakutosha

Downling episod ya kawaida 240MB inachukua muda mrefu.

Je tatizo laweza kuwa nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mi natumia pia supakasi, last week ndo kulikuwa na shida, ila naona saizi iko stable.

Request 5g upate 30mbps, maana inaongezeka elf 5 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimejiunga na Voda Supakasi Unlimited ya 4G.
Tatizo ambalo limeanza tokea ni kuwa speed imepungua kwa kasi, wiki mbili za mwanzo ilikuwa inacheza 15-19mbps

Ila kuanzia wiki hii ambayo zimebakia siku 12 ili mwezi uishe speed imeshuka napata 1-6mbps.

Inakuwa slow sana, siwezi angalia 720p kwenye TV

Buffering zakutosha

Downling episod ya kawaida 240MB inachukua muda mrefu.

Je tatizo laweza kuwa nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umejaribu kurestart router kupitia menu za router? Umejaribu kudownload youtube video na idm?
 
Binafsi nimejiunga na Voda Supakasi Unlimited ya 4G.
Tatizo ambalo limeanza tokea ni kuwa speed imepungua kwa kasi, wiki mbili za mwanzo ilikuwa inacheza 15-19mbps

Ila kuanzia wiki hii ambayo zimebakia siku 12 ili mwezi uishe speed imeshuka napata 1-6mbps.

Inakuwa slow sana, siwezi angalia 720p kwenye TV

Buffering zakutosha

Downling episod ya kawaida 240MB inachukua muda mrefu.

Je tatizo laweza kuwa nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sometimes hili husababishwa na kuwa unapewa GB kadhaa kwenye kifurushi chako na hizo GB zikiisha speed ina drop inakuwa ya chini sana japo utaendelea kupata Internet.

Mara nyingi hairuhusu hata kudownload.
Wao wakiwa wanakuuzia watakuambia ni unlimited ila kuna kiasi fulani cha GB ukishatumia lazima speed ishuke sana
 
Back
Top Bottom