HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mimi sipewi GBSometimes hili husababishwa na kuwa unapewa GB kadhaa kwenye kifurushi chako na hizo GB zikiisha speed ina drop inakuwa ya chini sana japo utaendelea kupata Internet.
Mara nyingi hairuhusu hata kudownload.
Wao wakiwa wanakuuzia watakuambia ni unlimited ila kuna kiasi fulani cha GB ukishatumia lazima speed ishuke sana