Watumiaji wa Unlimited Internet leteni mrejesho

Mimi sipewi GB
 
Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa nipeni some recomendations

View attachment 2088469
Natumia Kutoka Netsolution nyumbani kwa kulipia Tsh. 59,000/= kwa mwezi hawa wamenipa free router & installation kwa kuwa niko kwenye apartment nikihama naacha device zao. Hii ni Up to 20Mbps. Cheki ZUKU huko posta ni cheap zaidi hata hawa Netsolution hawajawahi kuzingua kwa miezi kama 6 niliyoitumia
 
Oyooo hivi wewe ulichukua muda gani baada ya kujisajili mpaka kuletewa router naona mimi wanachelewa niletea sijui sikukuu hizi hata sielewi
Hao inabidi uwasumbue, vinginevyo utasubiri sana
 
Malipo kwa mwezi ni la 115k?, je gharama za kununulia je? Na vip speed yao ya internet.

Je hamna wifi router nayoweza Pata kwa bei ya chini kidogo mkuu?
Nimelipia Kasi internet Vodacom Leo ni siku ya 20 sijaunganishwa ,wanapiga danadana tu.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mi mbona nimelipia pesa yapata mwezi mzima bado hawajaniunganisha?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tunaomba mrejesho aliye tumia ttcl fiber maeneo ya vijijini maana kijijini kwangu wamepitisha karib sana na nyumbani lakin hata kama mjini lakin katumia ttcl arudishe feedback
 
Tunaomba mrejesho aliye tumia ttcl fiber maeneo ya vijijini maana kijijini kwangu wamepitisha karib sana na nyumbani lakin hata kama mjini lakin katumia ttcl arudishe feedback

Kuna jamaa yangu anatumia, yuko Dar. Alichukua package ya 40Mbps. Anasema service ni nzuri ya uhakika, speed haishuki, wala net kukata. So it seems reliable
 
Vipi kuhusu konnect?
 
Tunaomba mrejesho aliye tumia ttcl fiber maeneo ya vijijini maana kijijini kwangu wamepitisha karib sana na nyumbani lakin hata kama mjini lakin katumia ttcl arudishe feedback
Nimeunga tangu july haijawahi sumbua
 
Naomba mawasiliano yao mkuu Mimi nipo Gongo la mboto, nahitaji kwa matumizi ya ofisi
 
Hili tatizo sio lakwako Tu mkuu, ni la mitandao karibia yote tigo,Vida, Airtel, cjui kwann hii mitandao umeamua kutuibia kiasi hiki.
Kuna hawa simbanet ila wanabei juu kidogo per month ni kama 120k, dishi ni million na points ivi na channels unapata Pia nataka NIifuatilie hawa nione huduma zao zikoje
 
Dish=Satelite, internet pekee inayozidi mitandao ya simu ni Fiber, kama hupati Fiber bora tu urudi mitandao ya simu, kulipia 120k kwenye Satelite ukaacha supakasi ya Voda si uamuzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…