Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Hii ni habari njema kwa wale wapenzi wa mtandao wa Whatsapp, kampuni ya Meta inayomiliki mtandao wa Whatsapp imesema Muda sio mrefu itaweza kuachiwa Feature mpya ya watu kuweza kuweka video ndefu kwenye status.
Feature hii imeshaanza kufanya kazi kwa baadhi ya watumiaji wa Whatsapp ambao wamepewa uwezo wa kuweka video zenye urefu wa sekunde 90 zaidi ya dakika 1 na sekunde 30 kwenye status zao.
Mfumo huu umekuja kuondoa ile limit ambayo watumiaji wa Whatsapp walikua wanipata ya kuweka video fupi ya dakika 1 kwenye status zao sasa wataweza kuweka video yenye ukubwa wa dakika 1 na sekunde 30 kwenye status.
Unachotakiwa ni kufanya update ya Whatsapp iwe toleo la Version 2.25.12.9 kupitia soko la Google play store.