Aisee mkuu unadownload almasi??!1. device (pc)
matumizi ni mengi ila kwa siku natumia si chini ya 50GB - 100GB ikitokea
nimefungua ofisi nusu siku,ila kwa Full Day nikicheza rough zangu
zote natumia 130gb - 150gb PER DAY.
Jamaa gani haoKuna jamaa flani wana site yao ambayo wana toa internet service sasa ukilipia kifurushi chochote inakubid u download app yao ndio upate access ya internet
[emoji2][emoji2][emoji2]Aisee mkuu unadownload almasi??!
Hawa siku recommend nao kwa sasa maana speed yao n ku peruzi internet ila sio ku downloadJamaa gani hao
Hii unaunganisha je??Hawa siku recommend nao kwa sasa maana speed yao n ku peruzi internet ila sio ku download
Your Freedom - VPN, tunneling, anonymization, anti-censorship. Windows/Mac/Linux/Android ..
Huwa wanakuwa na settings zao sasa kama hauko updated nao, settings huwa zinabadiilika. Kuna huo uzi wake humu jfHii unaunganisha je??
-Band 3, 7, 20 na 40 Za Tanzania zipo zote ina maana kila mtandao utashika kwako kwa 4gCHIEF MKWAWA hii vipi mkuuView attachment 1821460
Yani hiyo ndo full description yake nimeiscreen shot sjaona hyo mimo je hyo mimo ni muhimu zaidi tuachane nayo hii?-Band 3, 7, 20 na 40 Za Tanzania zipo zote ina maana kila mtandao utashika kwako kwa 4g
-lte Advance ipo 300mbps utapata tech zote za mitandao.
Kitu anbacho sijakiona kwenye specs ni mimo, iangalie vizuri, ila I hope ipo kwa specs hizi.
Ifanyie research zaidi, kama Kuna sehemu wameandika full model nitumie nikusaidie.Yani hiyo ndo full description yake nimeiscreen shot sjaona hyo mimo je hyo mimo ni muhimu zaidi tuachane nayo hii?
Mkuu nime Google ni zile Antenna zinazotokea kwa nje kuongeza Signal.Chief-Mkwawa hii inamaana gani kwa router nafikiria agiza aliexpress ila hiyo sentence inaniogopeshaView attachment 1828740View attachment 1828741
Asante chief, hizo antenna zinaumuhimu sana ? Na hiyo mimo sijaona kwa almost mini mifi za Huawei na Zte sijui hawana hizo featureMkuu nime Google ni zile Antenna zinazotokea kwa nje kuongeza Signal.
Na dual band 3g ina maana ina band 2 za 3G sisi yetu ni hio 2100 hivyo itakamata 3g zote.
Lte pia inazo zote 3, 7, 20 na 40.
Lte Advance ipo.
Inachomiss ni Mimo hakuna.
Zipo ambazo zinazo just Google manual. Description ya Aliexpress si ya kuiamini sana.Asante chief, hizo antenna zinaumuhimu sana ? Na hiyo mimo sijaona kwa almost mini mifi za Huawei na Zte sijui hawana hizo feature
Kati ya Huawei e5787s-33a na E5787ph-67a ipi inafaa kwa mitandao yetu maana ya kwanza ina frequency band aina nyingi(intra band continuation) ila sijaona features za MIMO na nyingine ina FDD700/1800/2100/2600 na MIMOZipo ambazo zinazo just Google manual. Description ya Aliexpress si ya kuiamini sana.
Zina umuhimu incase unataka router Ipeleke mawimbi eneo Kubw.
Mkuu wapi naweza napata hiki kifaa, Nimezunguka kkoo sijafanikiwa..Naona kina sifa zote Cat 11.Zipo ambazo zinazo just Google manual. Description ya Aliexpress si ya kuiamini sana.
Zina umuhimu incase unataka router Ipeleke mawimbi eneo Kubw.
Wenzako wanatumia hzo gb 100+ kuzalisha pesa sio kuchati mzee, [emoji23]Hubuzi mzuri lkn nimeishia kasoma tubna kushangaa Matumizi ya 130gb kwa siku. Mimi 2gb haziishi nimehundua nituliebtu. Helongereni wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlivoona neno "Liquid telecom" basi nikaanza kujiuliza mbna hii kampun kama naijua vile?? Mara nkaikumbuka "Econet" ila Dr.Strive masiyiwa alipambana sana kuanzisha hii campun. Yan alikuwa anapambana na mugabe sio kitoto.Hao jamaa wa Liquid Telecom wana fibre optic network accross Africa nzima.....From Cape Town to Cairo. Mojawapo ya makampuni yaliyochini ya bwana Strive Masiyiwa. Hapa Bongo waliinunua kampuni ya Raha.