KERO Watumishi (Ajira Mpya) Nyang'hwale mwaka 2025, Kada ya Afya hatujalipwa pesa ya kujikimu

KERO Watumishi (Ajira Mpya) Nyang'hwale mwaka 2025, Kada ya Afya hatujalipwa pesa ya kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
 
Nawasilisha kero yangu Wilaya ya Nyang'hwale, Geita Ajira Mpya Kada ya Afya toka February 2025 hatujapata fedha za kujikimu na ukiuliza unaambiwa msubiri serikali imeleta watumishi wengi kuliko bajeti.

Bajeti ya wilaya ilikuwa ndogo labda Mkurugenzi atuhurumie tupate kidogokidogo. Tunajibiwa ovyo na vitisho vya kufukuzishwa kazi.
 
Back
Top Bottom