Nawasilisha kero yangu Wilaya ya Nyang'hwale, Geita Ajira Mpya Kada ya Afya toka February 2025 hatujapata fedha za kujikimu na ukiuliza unaambiwa msubiri serikali imeleta watumishi wengi kuliko bajeti.
Bajeti ya wilaya ilikuwa ndogo labda Mkurugenzi atuhurumie tupate kidogokidogo. Tunajibiwa ovyo na vitisho vya kufukuzishwa kazi.