A
Aisee serikali haiwasiliani hivi ndugu ajira mpya.Fanya mawasiliano sahihi hii sio nzuri kwenu.Sisi watumishi ajira mpya kutoka maeneo tofauti tumeshirikiana kuandika andiko hili kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambayo yamekuwa kizungumkuti kwetu, lengo ni mamlaka zipate kujua kinachoendelea na tuweze kusaidiwa.
SIKONGE, TABORA
Tunaomba Wanahabari mtusaidie kupaza sauti kuhusu hili jambo, sisi ajira mpya katika Wilaya ya Sikonge, Kada ya Ualimu Msingi, tangu mwezi wa sita hela ya kujikimu hatujaipata.
Mpaka leo (Septemba 27, 2023) bado hatujalipwa ili hali hela hiyo unatakiwa kulipwa kabla ya kuanza kazi na huu mwezi wa tatu tangu tumeanza kazi.
Malipo haya tunatakiwa kulipwa zile wiki mbili za mwanzo unapopewa muda wa kujiandaa kabla ya kuanza kazi rasmi, kuna gharama flani ya kuanzia maisha.
Tumejaribu kufuatilia tunaambiwa fedha zimeshafika lakini ukiulizia unaambiwa tuwape muda, Mkurugenzi yeye tulimbana wiki iliyopita akasema fedha zimeshafika kwa idara, tuwaulize huko.
ROMBO, KILIMANJARO
Upande mwingine Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro pia tuna changamoto ya kutolipwa fedha za kujikimu.
Sisi Walimu tuliajiriwa Juni 2023 lakini mpaka leo hatujapata malipo hayo, tumeshadai muda mrefu lakini tunabaki njia panda, tupo na wenzetu Madaktari, Wauguzi wa kike pamoja na sisi Walimu.
Mwaka jana na mwaka juzi wenzetu walipata changamoto kama hiyohiyo, ilifikia hatua hadi wakaandamana ndio wakapata haki yao.
Safari hii (2023) hali inaendelea vilevile, tulitakiwa kupata ndani ya wiki mbili za kwanza lakini mpaka leo, Halmashauri za wenzetu huku Kilimanjaro tumesikia wameshapata lakini sisi tu ndio bado na tunasikia hela zimeshatoka TAMISEMI.
Kama zimetoka TAMISEMI, kwa nini hawatupi malipo yetu? Ukiuliza kwa Mkurugenzi (Godwin Chacha) hatoi ushirikiano mzuri, kila wiki tunaenda ofisini kwake lakini hakuna kinachopatika cha maana.
Ingekuwa vizuri kama ungewaelekeza namna ya kuwasiliana, maana wameshaenda mpaka kwa mkurugenzi, na hii siyo sikonge tu, sehemu nyingi malalamiko ni hayo hayo, baadhi ya wilaya za Iringa kuna malalamiko piaAisee serikali haiwasiliani hivi ndugu ajira mpya.Fanya mawasiliano sahihi hii sio nzuri kwenu.
Soma standing order(2009) kifungu L.16 ndipo utajua siyo hisani IPO kisheriaMshahara ndio haki yako kwa sababu umeufanyia kazi hiyo ya kujikimu ni hisani tu kwahiyo usikomae sana mwalimu chapa kazi.
Hiyo standing order inahitaji kufanyiwa marekebisho ASAPSoma standing order(2009) kifungu L.16 ndipo utajua siyo hisani IPO kisheria.
Upo Sikonge sehemu gani??Sisi watumishi ajira mpya kutoka maeneo tofauti tumeshirikiana kuandika andiko hili kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambayo yamekuwa kizungumkuti kwetu, lengo ni mamlaka zipate kujua kinachoendelea na tuweze kusaidiwa.
SIKONGE, TABORA
Tunaomba Wanahabari mtusaidie kupaza sauti kuhusu hili jambo, sisi ajira mpya katika Wilaya ya Sikonge, Kada ya Ualimu Msingi, tangu mwezi wa sita hela ya kujikimu hatujaipata.
Mpaka leo (Septemba 27, 2023) bado hatujalipwa ili hali hela hiyo unatakiwa kulipwa kabla ya kuanza kazi na huu mwezi wa tatu tangu tumeanza kazi.
Malipo haya tunatakiwa kulipwa zile wiki mbili za mwanzo unapopewa muda wa kujiandaa kabla ya kuanza kazi rasmi, kuna gharama flani ya kuanzia maisha.
Tumejaribu kufuatilia tunaambiwa fedha zimeshafika lakini ukiulizia unaambiwa tuwape muda, Mkurugenzi yeye tulimbana wiki iliyopita akasema fedha zimeshafika kwa idara, tuwaulize huko.
ROMBO, KILIMANJARO
Upande mwingine Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro pia tuna changamoto ya kutolipwa fedha za kujikimu.
Sisi Walimu tuliajiriwa Juni 2023 lakini mpaka leo hatujapata malipo hayo, tumeshadai muda mrefu lakini tunabaki njia panda, tupo na wenzetu Madaktari, Wauguzi wa kike pamoja na sisi Walimu.
Mwaka jana na mwaka juzi wenzetu walipata changamoto kama hiyohiyo, ilifikia hatua hadi wakaandamana ndio wakapata haki yao.
Safari hii (2023) hali inaendelea vilevile, tulitakiwa kupata ndani ya wiki mbili za kwanza lakini mpaka leo, Halmashauri za wenzetu huku Kilimanjaro tumesikia wameshapata lakini sisi tu ndio bado na tunasikia hela zimeshatoka TAMISEMI.
Kama zimetoka TAMISEMI, kwa nini hawatupi malipo yetu? Ukiuliza kwa Mkurugenzi (Godwin Chacha) hatoi ushirikiano mzuri, kila wiki tunaenda ofisini kwake lakini hakuna kinachopatika cha maana.
Siyo hisani, watoe hela, wao mbona maposho yao ya kisiasa huko hayachelewi, afu haya masuala ya mazoea siyo mazuri, watoe hela kwa wakati.Mtazoea tu...maadai ya fedha ya serikalini huchukua muda. Cha msingi mshahara umeingia (una check number) Hilo ndio la maana. Hiyo hela ya kununua subwoofer,Azam decoder, flat tv inchi 32 na kunywia bia mtaipata ila muwe wastaarabu maana mnatukana sana kwenye makundi yenu ya Whatsapp (alafu mko katika kipindi Cha majaribio ya mwaka mmoja) mmeshasahau mmesota miaka mingi bila ajira.
Unaongea utumbo nduguMshahara ndio haki yako kwa sababu umeufanyia kazi hiyo ya kujikimu ni hisani tu kwahiyo usikomae sana mwalimu chapa kazi.